Tahadhari watumiaji wa tigo!!

Tahadhari watumiaji wa tigo!!

mpinga shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,234
Reaction score
959
Hawa wezi wakubwa. TIGO Wamedhihirisha ujambazi wao sasa. Walitangaza kuwa kifurushi cha Internet cha 20000 kwa mwezi ni GB 30.
Nimeweka 20000 leo na kupewa 5GB kwa mwezi. Tafadhali usiingie mkenge. Mjulishe na mwenzako asije akaporwa hela zake. Naitupa mbali line ya Tigo. Tigo ni wezi na matapeli
 
Asante kwa taarifa. Piga huduma kwa wateja uwape vidonge vyao
 
Kwani si ipo ile special thread yao au ni voda wale???
 
I see ni shida nilikuwa na mpango wa kusajili line ya tigo baada ya voda kupunguza kifurushi cha mia tano! Mkuu nashukuru
 
Wale ni voda mkuu,tiGO hawana uzi wao humu.

Imefika muda sasa na wao kua karibu zaidi na wateja wao kwa kuanzisha thread.....
Nimeipenda ile ya voda na NMB
 
Hawa wezi wakubwa. TIGO Wamedhihirisha ujambazi wao sasa. Walitangaza kuwa kifurushi cha Internet cha 20000 kwa mwezi ni GB 30.
Nimeweka 20000 leo na kupewa 5GB kwa mwezi. Tafadhali usiingie mkenge. Mjulishe na mwenzako asije akaporwa hela zake. Naitupa mbali line ya Tigo. Tigo ni wezi na matapeli
Je, wanawashinda Vodacom kwa WIZI? maana vodacom kwa wizi na utapeli kiboko, sijawahi kuona
 
I see ni shida nilikuwa na mpango wa kusajili line ya tigo baada ya voda kupunguza kifurushi cha mia tano! Mkuu nashukuru

Mimi kwa mtazamo wangu bora tigo kuliko voda mkuu. Voda ni wezi hawana hata huruma kwa wateja. Kuna siku niliweka 1000, lakini sikupiga simu yoyote kwa siku mbili, nilipotaka kujiunga nipige, kuangalia salio nikakuta wamelamba salio lote imebaki 171 Tsh tu. Niliumia sana. Toka siku hiyo nina miezi miwili sijaweka salio voda na sina mpango wa kuendelea kuitumia
 
Hawa wezi wakubwa. TIGO Wamedhihirisha ujambazi wao sasa. Walitangaza kuwa kifurushi cha Internet cha 20000 kwa mwezi ni GB 30.
Nimeweka 20000 leo na kupewa 5GB kwa mwezi. Tafadhali usiingie mkenge. Mjulishe na mwenzako asije akaporwa hela zake. Naitupa mbali line ya Tigo. Tigo ni wezi na matapeli

leo nimejiunga na bundle ya internate ya 999, na tangu nijiunge asubuhi mpaka jioni sikupata mtandao! Means 999 imeliwa! HONGERA TIGO.
 
Kuhusu wezi bora ya Tigo kuliko Voda ila kinachonikera kwa upande wa tigo ni network yao hasa ikifika jion uwiiiiii utajuta!! Kwa sasa niko arusha network ya Tigo ni mbovu kupindukia mida ya jion
 
Nilinunua kifurushi cha wiki badala ya 8 wakanipa GB 2. Wanasema nunua kabla mud a haujaisha ukomboe zilizobaki.
 
Hawa wezi wakubwa. TIGO Wamedhihirisha ujambazi wao sasa. Walitangaza kuwa kifurushi cha Internet cha 20000 kwa mwezi ni GB 30.
Nimeweka 20000 leo na kupewa 5GB kwa mwezi. Tafadhali usiingie mkenge. Mjulishe na mwenzako asije akaporwa hela zake. Naitupa mbali line ya Tigo. Tigo ni wezi na matapeli
Nimeshtuka nikajua ni kale kamchezo ketu pendwa, kumbe ni hawa mafala...
 
Mimi naweka buku yangu na kuitumia hapo hapo sina mpango wa kujiwekea salio la akiba kabisa
 
Back
Top Bottom