kwakina itafakari
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 737
- 1,656
Nakuunga mkono, ila tuliza munkari, hatuhitaji kuona damu zinazidi kumwagika aseeNdugu zangu wote wenye nia njema na Taifa hili,naona kuna JUHUDI za makusudi kuonyesha hii hali tuliyomo sasa imesababishwa na mgogoro baina ya lissu na Samia au CCM na CHADEMA
Wanataka kujifanya kumuachia lissu ili mambo yaishe turudi kule kule tulipotoka,tusikibali hata kidogo kufanyiwa ULAGHAI wa aina yoyote
Madai yetu hayapo tena kwenye level za vyama au watu fulani, hii Nchi sio mali ya kikundi flani cha watu au wanasiasa,sio lissu tu BALI NA WENGINE WOTE WALIOKAMATWA KIUONEVU WAACHIWE na kikubwa zaidi CCM IVUNJWE NA WAHUSIKA WOTE WA HII KADHIA WAWAJIBISHWE KWA NAMNA ZOTE ZINAZOWEZEKANA
HAITOKWENDA BURE DAMU YA WOTE WALIOKUFA KABLA,KATIKA NA BAADA YA MAANDAMANO
mkilazimisha,tupo tayari Nchi itumbukie VITANI rasmi
Tukienda kwenye PLAN B,hii Nchi haitakuwa tena kama awali,endeleeni kujifanya MAJUHA sasa
Sijafika huko chini ya mada; lakini haya maneno hapa sijui kwa nini umefikiria hivi; au hata wao sidhani kuwa wanaweza kuwa na fikra za aina hii.Wanataka kujifanya kumuachia lissu ili mambo yaishe turudi kule kule tulipotoka,tusikibali hata kidogo kufanyiwa ULAGHAI wa aina yoyote
Unajuwa njia sahihi iliyo baki kuzuia damu kumwagika ni kwa Samia na Genge lake lote kuachia Tanzania iwe huru.Nakuunga mkono, ila tuliza munkari, hatuhitaji kuona damu zinazidi kumwagika asee
Sijafika huko chini ya mada; lakini haya maneno hapa sijui kwa nini umefikiria hivi; au hata wao sidhani kuwa wanaweza kuwa na fikra za aina hii.
Hali ya sasa siyo ya CHADEMA wala nani; ni swala la waTanzania kwa ujumla wetu sote.
Kama huko ndani ya CCM bado kuna watu wanafikiri wanaweza kumtumia Tundu Lissu (ambaye najuwa hawezi kukubali kutumika); hao watakuwa akili zao hazipo sawasawa.
Ndugu zangu wote wenye nia njema na Taifa hili,naona kuna JUHUDI za makusudi kuonyesha hii hali tuliyomo sasa imesababishwa na mgogoro baina ya lissu na Samia au CCM na CHADEMA
Wanataka kujifanya kumuachia lissu ili mambo yaishe turudi kule kule tulipotoka,tusikibali hata kidogo kufanyiwa ULAGHAI wa aina yoyote
Madai yetu hayapo tena kwenye level za vyama au watu fulani, hii Nchi sio mali ya kikundi flani cha watu au wanasiasa,sio lissu tu BALI NA WENGINE WOTE WALIOKAMATWA KIUONEVU WAACHIWE na kikubwa zaidi CCM IVUNJWE NA WAHUSIKA WOTE WA HII KADHIA WAWAJIBISHWE KWA NAMNA ZOTE ZINAZOWEZEKANA
HAITOKWENDA BURE DAMU YA WOTE WALIOKUFA KABLA,KATIKA NA BAADA YA MAANDAMANO
mkilazimisha,tupo tayari Nchi itumbukie VITANI rasmi
Tukienda kwenye PLAN B,hii Nchi haitakuwa tena kama awali,endeleeni kujifanya MAJUHA sasa
Ndugu zangu wote wenye nia njema na Taifa hili,naona kuna JUHUDI za makusudi kuonyesha hii hali tuliyomo sasa imesababishwa na mgogoro baina ya lissu na Samia au CCM na CHADEMA
Wanataka kujifanya kumuachia lissu ili mambo yaishe turudi kule kule tulipotoka,tusikibali hata kidogo kufanyiwa ULAGHAI wa aina yoyote
Madai yetu hayapo tena kwenye level za vyama au watu fulani, hii Nchi sio mali ya kikundi flani cha watu au wanasiasa,sio lissu tu BALI NA WENGINE WOTE WALIOKAMATWA KIUONEVU WAACHIWE na kikubwa zaidi CCM IVUNJWE NA WAHUSIKA WOTE WA HII KADHIA WAWAJIBISHWE KWA NAMNA ZOTE ZINAZOWEZEKANA
HAITOKWENDA BURE DAMU YA WOTE WALIOKUFA KABLA,KATIKA NA BAADA YA MAANDAMANO
mkilazimisha,tupo tayari Nchi itumbukie VITANI rasmi
Tukienda kwenye PLAN B,hii Nchi haitakuwa tena kama awali,endeleeni kujifanya MAJUHA sasa
But this is precisely she is conveying. Without her and her gang Tanzania can do nothing! Mentality ya kushangaza sana hii!Unless kama CCM wanataka kuprove point kuwa nchi haiwezi kuwa na amani bila wao madarakani
Hawajawahi kuwa kuwa akili sawasawa, wanaweza kufanya lolote, kama hilo, maana kwa akili zao walishatuona sisi ni ManyaniSijafika huko chini ya mada; lakini haya maneno hapa sijui kwa nini umefikiria hivi; au hata wao sidhani kuwa wanaweza kuwa na fikra za aina hii.
Hali ya sasa siyo ya CHADEMA wala nani; ni swala la waTanzania kwa ujumla wetu sote.
Kama huko ndani ya CCM bado kuna watu wanafikiri wanaweza kumtumia Tundu Lissu (ambaye najuwa hawezi kukubali kutumika); hao watakuwa akili zao hazipo sawasawa.
Mkuu 'Nyamaiso', jaribu iwezekanavyo kutenganisha viongozi wa CCM na mamilioni ya wanachama wa chama hicho; ambao mimi naamini kabisa kuwa hawana tofauti na tulivyo sisi waTanzania wengine wote.Hawajawahi kuwa kuwa akili sawasawa, wanaweza kufanya lolote, kama hilo, maana kwa akili zao walishatuona sisi ni Manyani