Tahadhari: Wahuni wanaojiita "panya road" wameanza kusumbua watu tena

Mbona huku mikoani hakuna ndugu? Huku hata ukiiba karanga tunachoma moto.
Watu wanaiba mchana mchana halafu people zinawaangalia tu.
Wanaume wa dar tabu tupu. Huku mkoani makundi ya ovyo ovyo hayapo
Sasa ndugu mkoani wataiba nini?
 
Sasa ndugu mkoani wataiba nini?
Hata km hakuna cha kuiba. Lkn inawezakana vip watu wateke mtaa waibe na nyie mnaangalia tu? Aisee
watu wanapora mabegi nyie mnaangalia tu km hampo. Ha ha ha ha
Hapo sipati picha jins mlivyokuwa mnakimbizana
 
Ndio wamekosa kazi huko wanakuja kuiba mali za wanaume wavuja jasho wa dar.
Lazima mtoke jasho sbb huko kuna joto sana. Ukiwa kwa Azizi Ally utafikiri upo jikoni. Polen sana.
Cha kushangaza vijana wenyew wana visu, marungu na mapanga. Je, wakiwa na bunduki? Ha ha ha ha
 
Ukitaka kujua wanaume wa dar wana mbio, ndo huu muda wasikie tu neno panya road ha ha ha
Ha ha ha ha
Watu wenyew wanapora mchana lkn wanaume wa dar wanavyoogopa sasa. Je, ingekuwa usiku?
Wanaume wa dar lege lege kweli. Ndiyo tatizo la kula mahindi yaliyopakwa ndimu, chumvi na pilipili.
 
Ha ha ha ha
Watu wenyew wanapora mchana lkn wanaume wa dar wanavyoogopa sasa. Je, ingekuwa usiku?
Wanaume wa dar lege lege kweli. Ndiyo tatizo la kula mahindi yaliyopakwa ndimu, chumvi na pilipili.
hao panya nao kujichosha tu hivo vi begi hata huwa havina laptop, ni vitambaa, chanuo na kioo
 
Kwa wakazi wa Mwananyamala na maeneo mengine ya jiji la Dar es Salaam kuweni na tahadhari na mda na njia mnazopita.

Siku ya jana wamesumbua watu maeneo ya Mwananyamala kwa Kopa kwa kuwapora pikipiki na mabegi ya wanafunzi waliokuwa wanatokea Kairuki wanaoishi Mwananyamala.

Nakushauri usitembee na mabegi wanayoita 'ya pc' watakung'oa mgongo.

Unaposikia hili waambie na mwenzio
 
Hata km hakuna cha kuiba. Lkn inawezakana vip watu wateke mtaa waibe na nyie mnaangalia tu? Aisee
watu wanapora mabegi nyie mnaangalia tu km hampo. Ha ha ha ha
Hapo sipati picha jins mlivyokuwa mnakimbizana
Nani kakuambia wameteka mtaa?!! Kwanza mimi sijawahi kutana nao pengine ni stori za vijiweni tu.
 
Kwa wakazi wa Mwananyamala na maeneo mengine ya jiji la Dar es Salaam kuweni na tahadhari na mda na njia mnazopita.

Siku ya jana wamesumbua watu maeneo ya Mwananyamala kwa Kopa kwa kuwapora pikipiki na mabegi ya wanafunzi waliokuwa wanatokea Kairuki wanaoishi Mwananyamala.

Nakushauri usitembee na mabegi wanayoita 'ya pc' watakung'oa mgongo.

Unaposikia hili waambie na mwenzio
Hii thread yako ingekuwa ni ya kuhamasishana muungane muwatokomeze panya road ingekuwa poa sana.
Nyie waoga sana
 
Kwa iyo wanaume wa dar ni tatizo au mbona wana sema asilimia kubwa ya watu wa dar wametokea mikoani ndio maana wazaramo wamekimbia mji
Wakifika dar wanafanana na wazaramo ukikaa na uwaridi unanukia nao hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom