Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Aina ya simu uliyotumia ni original kweli?Mjukuu wangu ndagu niliyokukabizi hiyo uwe makini na pesa hizo zinazokuja usiogope ndio mafanikio yako si nilikwambia utafanikiwa kwa mda mfupi sasa umeona mwenyewe na siri hiyo usitowe kwa mtu yoyote unipigie nikuelekeze.
Huo ni ujumbe nimetumiwa muda mfupi uliopita, kupitia number 0627241141 hao ni matapeli ukiwa na tamaa ya fedha utajikuta umetapeliwa
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app