mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,286
- 44,852
Kaiokota habari hata kuichanganua kashindwaacha umsikiliza huyo mjinga mleta mada.System ya NIDA ni kama ya passport ukigonga dole zinatokea details zako zote na picha.Huyo mleta maada mpumbavu mjinga na bwege .Dole la mtu mwingine haliwezi kubali kusajili laini kwa kutumia kitambulisho cha mtu mwingine.MLETA mada ni wale wajinga wa vijiweni wasioelewa kinachoendelea duniani
Huo mkuu ndo ujanja wanaoutumia mawakala kusajiri zaidi ya laini moja kwa kitambulisho kimoja. Ila si kama alivyoeleza mtoa mada.upo sahihi,huyo jamaa ni zuzu
lakini kwa laini mpya tu, huwezi kukamilisha kwa laini za zamani zinazotumikaHuo mkuu ndo ujanja wanaoutumia mawakala kusajiri zaidi ya laini moja kwa kitambulisho kimoja. Ila si kama alivyoeleza mtoa mada.
Kesi kama hii nimekumbana nayo trh23 mwezi huu baada ya systm kukuta kitambulisho kimoja kimekamilisha laini 10 tofauti asizozijua mwenye kitambulisho.
Inawezekana kukamilisha kwa laini za zamani zinazotumika kasoro ni vodacom pekee ila tigo,airtel,halotel zote hizo uwezekano upo, na huo ndo mwanya wanaoutumia matapeli kukamilisha laini zao kwa mfumo wa alama za vidole. Hapa wa kulaumiwa ni makampuni ya simu pamoja na NIDA.lakini kwa laini mpya tu, huwezi kukamilisha kwa laini za zamani zinazotumika
Ok kampuni ya simu ya inayofuata sheria na taratibu ni vodacom pekee tu, uswahili ni shida sana ndio maana ulaya laini unaikuta kwenye simu siyo africa laini unanunua kwengine na simu kwengine ,, SHITHOLE COUNTRYInawezekana kukamilisha kwa laini za zamani zinazotumika kasoro ni vodacom pekee ila tigo,airtel,halotel zote hizo uwezekano upo, na huo ndo mwanya wanaoutumia matapeli kukamilisha laini zao kwa mfumo wa alama za vidole. Hapa wa kulaumiwa ni makampuni ya simu pamoja na NIDA.
Hili zoezi wataalam wetu wa IT wameshindwa kubaini mianya ya wazi kabsa ya ujanja huu.
Kwa hili Vodacom wanastahili pongezi, japo pia endapo laini itakuwa ni mpya na haijasajiriwa kwa kitambulisho kingine uwezekano wa mchezo huu upo hususani kwa wale wanaotumia mashine za kukamilishia laini za mitandao tofauti.Ok kampuni ya simu ya inayofuata sheria na taratibu ni vodacom pekee tu
Tahadhari ni muhimu kabla ya hatari ichukue ufanyie kazi au waweza kupuuzia kama wahisi ni uongoMkuu chutama tu, umeingia chaka.
Unachosema hakiwezekani hata akirudi Masihi.
mkuu usiwe mwepesi wa kutoa cheap comment like this, fanyia kwanza utafiti juu ya nilichokisema ndo uje kuthibitisha uongo wanguMkuu umeandika uongo ambao haupo ukihitaji elimu nini kinatokea tutakwambia
Kuhusu kutoza hela hapo ni kuwa mteja anachangia Huduma fikiria simu inahitaji kuchajiwa
Huyo wakala amekuja kijijini kwa daladala au boda boda anatakiwa kula
Mkuu mi nimefanya hii kazi ninacho kijua ni kuwa ulicho sema hakiwezekan ila ukihitaji kujua kinacho tokea tukuelezemkuu usiwe mwepesi wa kutoa cheap comment like this, fanyia kwanza utafiti juu ya nilichokisema ndo uje kuthibitisha uongo wangu
Majuzi mawakala fulani mwanza walikamatwa wakatangazwa kwenyw taarifa ya habari ITV saa 2 usiku,so usibishe tu,hii kitu inafanyikaUzushi tu
Namba ya NIDA ipo connected na Fingerprint ya muhusika
Ingekuwa hivo watu wengi wangejisajiri kwa namba za Watu wengine
wanajifanya wajuaji wakati hawajui kitu sasa subiri yawakute ndipo wataukumbuka huu uziMajuzi mawakala fulani mwanza walikamatwa wakatangazwa kwenyw taarifa ya habari ITV saa 2 usiku,so usibishe tu,hii kitu inafanyika
Mtoa mada acha nikusahihishe kidogo.
Iko hivi wakala akiwa ana namba yako ya nida hawezi kusajiri laini nyingine kwa sababu itahitajika iwe connected na fingerprnt..
Utapeli na ujanja wa mawaka uko hivi.
Unapotoa namba ya NIDA au kitambulisho chako utakapomtajia namba yako ya simu utaweka dole gumba lako na kukamilisha kisha atakwambia tena rudia tena, kwahiyo pale unaporudia kuweka fingerprnt tambua kuwa anakamilisha usajiri wa laini nyingine tena kwahyo kitambulisho chako kimoja kinaweza kukamilisha laini hata tatu kwa mpigo bila wewe kujua...
Tatizo liko kwa mitandao ya simu kuruhusu kitambulisho kimoja kukamilisha laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja.
Wewe Ni mpumbavuuuu, tena ungekuwa jirani ningekukata vibao namba ya NIDA hata ukiwanayo haina faida Kama huna fingerprint za muhusika sasa hapo unaweka matak** yako ama nini... Acha upumbavu wew kudanganya watu
Unafikiri walikamatwa kwa mawazo unayo andika hapatutaelewana tuView attachment 1274651
uhuni upo unafanyika tena sana tu chief, nimeshindwa kuwawekea link ya video hapa jukwaani kwa kuhofia BAN kwani taratibu za JF haziruhusu kushare linksKuwa na line zaidi ya moja kwa mtandao mmoja kwani ni tatizo? Watanzania tujikite kwenye kutatua matatizo, kama kuna watu wanafanya uhuni basi wachukuliwe hatua, ila isiwe sababu ya kuzuia watu wawe na line wazitakazo kwa matumizi yao halali!