Tahadhari: Usajili wa line za simu kwa alama za vidole

hizo lawama Peleka NIDA na TCRA.
Kwani ni lazma tutumie NIDA kusajili LAINI?
Kama ni muhimu KWANINI NIDA NI WASUMBUFU?
 
Kukashifu serikali! Lugha hii imekaa kichochezi zaidi dhidi ya asiyekuwa na rungu. Mwenye rungu akiniita lofa na mpumbavu wanashangilia, Mimi nikimuita lofa na mpumbavu nimekashifu serikali wakati maneno hayo yamekuja kwangu yakabaunsi na kurudi kwake.
 
acha umsikiliza huyo mjinga mleta mada.System ya NIDA ni kama ya passport ukigonga dole zinatokea details zako zote na picha.Huyo mleta maada mpumbavu mjinga na bwege .Dole la mtu mwingine haliwezi kubali kusajili laini kwa kutumia kitambulisho cha mtu mwingine.MLETA mada ni wale wajinga wa vijiweni wasioelewa kinachoendelea duniani
Kaiokota habari hata kuichanganua kashindwa

Ingekuwa hivo watu wasingehangaika kupata namba ya NIDA wangesajiliana kwa namba za ndugu zao au wapenzi wao

Anashindwa kuelewa ile namba ya NIDA ni unique na ipo connected na details za muhusika hadi picha

Ndio maana hakuna ujinga hadi sasa uliofanyika eti namba ya NiDa ya mtu imesajiri laini ya mwingine kwa Fingerprint nyingine ,

Acheni story za Facebook

Jaribu kwenda kusajiri LAINI kwa namba ya mtu mwingine wa NiDa uone kitatokea nini

Sio kukimbilia jf kudanganya watu

Wanachotaka mawakala ni hela ya wao kula wakikusajiria lain na kukusajiri kwa NIda .

Hii habari inakufa kifo cha mende
 
Mkuu umeandika uongo ambao haupo ukihitaji elimu nini kinatokea tutakwambia

Kuhusu kutoza hela hapo ni kuwa mteja anachangia Huduma fikiria simu inahitaji kuchajiwa

Huyo wakala amekuja kijijini kwa daladala au boda boda anatakiwa kula
 
upo sahihi,huyo jamaa ni zuzu
Huo mkuu ndo ujanja wanaoutumia mawakala kusajiri zaidi ya laini moja kwa kitambulisho kimoja. Ila si kama alivyoeleza mtoa mada.
Kesi kama hii nimekumbana nayo trh23 mwezi huu baada ya systm kukuta kitambulisho kimoja kimekamilisha laini 10 tofauti asizozijua mwenye kitambulisho.
 
lakini kwa laini mpya tu, huwezi kukamilisha kwa laini za zamani zinazotumika
 
lakini kwa laini mpya tu, huwezi kukamilisha kwa laini za zamani zinazotumika
Inawezekana kukamilisha kwa laini za zamani zinazotumika kasoro ni vodacom pekee ila tigo,airtel,halotel zote hizo uwezekano upo, na huo ndo mwanya wanaoutumia matapeli kukamilisha laini zao kwa mfumo wa alama za vidole. Hapa wa kulaumiwa ni makampuni ya simu pamoja na NIDA.
Hili zoezi wataalam wetu wa IT wameshindwa kubaini mianya ya wazi kabsa ya ujanja huu.
 
Ok kampuni ya simu ya inayofuata sheria na taratibu ni vodacom pekee tu, uswahili ni shida sana ndio maana ulaya laini unaikuta kwenye simu siyo africa laini unanunua kwengine na simu kwengine ,, SHITHOLE COUNTRY
 
Ok kampuni ya simu ya inayofuata sheria na taratibu ni vodacom pekee tu
Kwa hili Vodacom wanastahili pongezi, japo pia endapo laini itakuwa ni mpya na haijasajiriwa kwa kitambulisho kingine uwezekano wa mchezo huu upo hususani kwa wale wanaotumia mashine za kukamilishia laini za mitandao tofauti.
 
Mkuu umeandika uongo ambao haupo ukihitaji elimu nini kinatokea tutakwambia

Kuhusu kutoza hela hapo ni kuwa mteja anachangia Huduma fikiria simu inahitaji kuchajiwa

Huyo wakala amekuja kijijini kwa daladala au boda boda anatakiwa kula
mkuu usiwe mwepesi wa kutoa cheap comment like this, fanyia kwanza utafiti juu ya nilichokisema ndo uje kuthibitisha uongo wangu
 
tutaelewana tu
Screenshot_20191127-214541~2.jpeg
 
Kuwa na line zaidi ya moja kwa mtandao mmoja kwani ni tatizo? Watanzania tujikite kwenye kutatua matatizo, kama kuna watu wanafanya uhuni basi wachukuliwe hatua, ila isiwe sababu ya kuzuia watu wawe na line wazitakazo kwa matumizi yao halali!
Mtoa mada acha nikusahihishe kidogo.
Iko hivi wakala akiwa ana namba yako ya nida hawezi kusajiri laini nyingine kwa sababu itahitajika iwe connected na fingerprnt..

Utapeli na ujanja wa mawaka uko hivi.

Unapotoa namba ya NIDA au kitambulisho chako utakapomtajia namba yako ya simu utaweka dole gumba lako na kukamilisha kisha atakwambia tena rudia tena, kwahiyo pale unaporudia kuweka fingerprnt tambua kuwa anakamilisha usajiri wa laini nyingine tena kwahyo kitambulisho chako kimoja kinaweza kukamilisha laini hata tatu kwa mpigo bila wewe kujua...

Tatizo liko kwa mitandao ya simu kuruhusu kitambulisho kimoja kukamilisha laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja.
 
Wewe Ni mpumbavuuuu, tena ungekuwa jirani ningekukata vibao namba ya NIDA hata ukiwanayo haina faida Kama huna fingerprint za muhusika sasa hapo unaweka matak** yako ama nini... Acha upumbavu wew kudanganya watu
 
Kuwa na line zaidi ya moja kwa mtandao mmoja kwani ni tatizo? Watanzania tujikite kwenye kutatua matatizo, kama kuna watu wanafanya uhuni basi wachukuliwe hatua, ila isiwe sababu ya kuzuia watu wawe na line wazitakazo kwa matumizi yao halali!
uhuni upo unafanyika tena sana tu chief, nimeshindwa kuwawekea link ya video hapa jukwaani kwa kuhofia BAN kwani taratibu za JF haziruhusu kushare links
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom