Tahadhari: Ufisadi katika awamu ya tano utaweka historia kuliko tawala zote!

Ujenzi wa ukuta Mirerani
Loading ......
 
Sasa mpini kashikilia mwizi wewe mwenye mali utasalimika? Funga midomo ili apige.na ukiona mtu kila mara anaita wengine wezi ujue anaji pre empty asijulikane kumbe yeye ni jambazi.
Ukweli uluoandika hapa hautaanguka chini.
 
Siku madudu ya serikali ya magufuli yakianza kufichuliwa wale wafia chama cha fisiem sijui wataweka wapi nyuso zao.
Hawawezi kukosa pa kuziweka mkuu, zitabaki hapo hapo. Nakumbuka sakata la Richmond lilivyokuwa na jinsi watu walivyoacha nyuso zao hapo hapo.
 
........Kila ufalme uliofitinika wenyewe kwa wenyewe hufanywa ukiwa, na nyumba juu ya nyumba huanguka. Luka 11:17. Tafakuri hii inamhusu Mungu mtu.
 
Flyovers mikataba yake ilikuwepo kabla ya awamu ya tano kuanza
 
Kule Siha na Kinondoni wananchi wahabarishwe haya kabla ya kufanya Tena makosa na kuichagua CCM
 
Nadhani ingekuwa vyema ungetueleza ni kifungu kipi cha sheria ya manunuzi kilikiukwa kwa kila project. Jinsi ulivyoandika ni kama mganga wa kienyeji tu.
 
Ufisadi mwingeni ambao mleta mada amesahau ni mtawala kuwa na mawazo ya kujiongezea muda kupitia midomo ya lumumba kama akina Jumi Nkamia.KULE LUMUMBA KULAMBA RAMBIRAMBI KWA KADIRI YA mungu WAO MZEE BABA NI BARAKA NA MAUJANJA
Wanatuona mazuzu kweli !
 
Watatupiga.. Watatunyima uhuru wa kupata habari.. Watatuua.. Watakandamiza tusitoe maoni yetu..
Lakini hawatazuia hisia, ukweli na harakati zetu dhidi yao..

[HASHTAG]#UjingaMwisho2018[/HASHTAG]
 
Du! The Boss umerudi! hongera sana, mchango wako ni muhimu.
Angalau Nyerere hakubagua watu, hata wachaga aliwalea kama watanzania, siyo kama ilivyo sasa chini ya JPM. Pamoja na ile operesheni vijiji iliyoleta usumbufu mkubwa na watu kujeruhiwa na kuumizwa, kubomolewa nyumba zao, lakini siwezi kuifananisha na bomoabomoa inayoendelea chini ya JPM
 


E pasport,
SGR
Umeme
maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…