Tahadhari tusiyoizingatia

Tutafute yale mapete makubwa makubwa tuyavae... Yanakinga hatari zote mbele yako... mshana jr wasemaje. Tulimshuhudia Pinda kalivaa.

Niliitazama muvi moja ya kinigeria Jamaa alikuwa na pete hilo.... Lilikuwa likimpa nguvu za ajabu mbele ya jamii na kuitawala jamii yote. Akiongea kitu lazima asikilizwe.

Mkuu uje na somo la hirizi na kujizindika
 
Kwa nje na kwa haraka yanaonekana yana faida na yana saidia sana lakini hakuna madude yatesayo kama hayo kwakuwa sirini unaishi na maagano viapo na masharti magumu...nadhani kwa vyovyote nilishaweka post yake humu
 
Kwanza kwann uyavae ikiwa tumeambiwa tunauwezo wa kila kitu endapo tutazingatia yatupasayo!! Kama unaweza fuata masharti ya maagano ambayo kiuhalisia yatakunyima amani ya nafsi kwann basi usifanye meditation na kuimprove those power within!? Will power ikiwa improved nasikia waweza fanya wandaz hadi wengine wakuone ka mwanga kumbe walaaaaaaaa
 
Uwiii meseji nilikua nampa #data# nashangaaa nime reply kwa mshana!! Mshana ushanivalia li Pete nini [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Uwiii meseji nilikua nampa #data# nashangaaa nime reply kwa mshana!! Mshana ushanivalia li Pete nini [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] between meditation ni long painful practice inayohitaji uvumilivu mwingi wakati mapete ni shortcut ndio maana wengi wanayapenda
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] between meditation ni long painful practice inayohitaji uvumilivu mwingi wakati mapete ni shortcut ndio maana wengi wanayapenda
Kwa mtaji huo shortcut hazitoisha
 
Kuna Jambo la kujifunza kwenye uzi huu kwa kweli ni wengi sana tunaopuuzia sauti viashiria alivyoelezea Mshana
Mie Nakumbuka weekend moja miaka ya nyuma kidogo mke wangu aliniomba tutoke jioni kwenda muziki kwa kweli nilikuwa mzito sana na nikamkatalia kabisa lakini baadae nikaamua kumridhisha kwani Niliona kama kakosa furaha kilichoenda kutokea ni ajali kabla hatujafika ilikuwa mbaya lakini tulitoka salama
Asante Mshana kwa kutukukumbusha
 
unabisha

swissme
 
Mshana...,
Ukweli wa nguvu za mwanadamu ktk kujitawala na kutawala mazingara na mazingira yake uko hapa ....,
MWANZO 1:26 - 31...
Wanadamu wana UUNGU ambao wao wameupuuza wenyewe..., aidha kwa kudanganywa na Ibilisi..., au na tamaa zao wenyewe...
Kwa hiyo, hii 6th sense ni real.., lakini lazima uwe tayari kuamsha nguvu hiyo ya mlango wa 6 wa ufahamu.. Mshana labda utaweza kufundisha vizuri zaidi namna ya kuamsha nguvu hii ambayo wengine wetu tunapotoka kuifikiria kuwa ni nguvu ya kishirikina....
 
Tetee...,
Tahadhari hizi zinatokea sana ktk maisha yetu ya kila siku..., tahadhari ndogo na kubwa kubwa...

Kwa sisi tunaomwamini MUNGU .., Mungu mwana na ROHO MTAKATIFU...., tuna namna ya kufanya iwapo MACHALE yatakucheza ktk jambo lolote BAYA linalotaka kutokea ... Wengine hilo la kufanya wataita KUKEMEA..., wengine wataomba..., wengine watapuuza... Na hakika..., ukitumia nguvu ya UUNGU uliyopewa ktk kuzuia au kuchukua tahadhari ya MACHALE yanapokucheza..., utafanikiwa kukwepa mambo mengi saaaaana....

Ndio mara nyingine utasikia watu wakimsema mtu..., "ana MACHALE yule jamaa...." au..., "jamaa MCHAWI ninii...?!" [emoji23]
 
Na kweli hahahahaa watu hawakawii kukuona sangoma, ndio maana nasemaga kila jambo lina hekima yake, mfano yule alipigwa na tumbo la ghafla alilaumu saana kurudi, kumbe kuumwa kwake tumbo ikawa ponea yake. Tunaambiwa tukubali qudura na qadara za Mola
 
Wapumzike kwa amani wahanga wa moto wa Shauritanga
 
Shauritanga tukabaki na matanga, walikosa nini maskini, mapema kama vile kuwapeleka kaburini.. 2Proud now SUGU.
#GoneFor22 R.I.E.P
 
Shauritanga tukabaki na matanga, walikosa nini maskini, mapema kama vile kuwapeleka kaburini.. 2Proud now SUGU.
#GoneFor22 R.I.E.P
Na kumbuka ndio ilikuwa mwaka wangu wa kwanza kazini pale Patandi Arusha
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…