SPANISH CP
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 465
- 230
Kijana aliebeba rasket(begi mgongoni) akiwa ktk bodaboda alinaswa na kuvutiwa uvunguni mwa roli walilokua wanaovatek.
Begi ndo lilisababisha avutwe baada ya kunasa.
Mkuu mbona hii kitu ya ckunyingiKijana aliebeba rasket(begi mgongoni) akiwa ktk bodaboda alinaswa na kuvutiwa uvunguni mwa roli walilokua wanaovatek.
Begi ndo lilisababisha avutwe baada ya kunasa.
Kah Moderator tafadhali wekeni taadhari ya hii picha kwenye topic
Mkuu mbona hii kitu ya ckunyingi
Ckunyingi nimeona hiiYa lini mkuu?
Ckunyingi nimeona hii
Boda boda zinatumaliza
Pamoja ni mara yangu ya kwanza kwa upande wangu kuiona hii.Sio kwamba bodaboda zinatumaliza kwa sababu chanzo cha ajali ni begi la huyo abiria kunasa kwenye Lori na kama isingekuwa begi wala ajali isingetokea labda ungeuliza kuwa lilinasanasaje kwenye lory. Sasa hapo ndo tujiulize kwamba ilikuakuaje hadi likanasa.