ndo mpk awashike wajinga sasaKuna mmoja alinipigia aisehh ilibidi awe rafiki yangu nikamuuliza ni kwani2 wanafanya hivyo akanijibu kuwa mkulu si amebana kwahiyo greese ipo kwa huku kwenye utapeli...kumbe wanapata hela sana tu kwa siku anaweza akapata hata milioni tano hadi saba hahahaha!
Nahisi nishasikia audio ya mazungumzo yako na hao jamaa.Kuna mmoja alinipigia aisehh ilibidi awe rafiki yangu nikamuuliza ni kwani2 wanafanya hivyo akanijibu kuwa mkulu si amebana kwahiyo greese ipo kwa huku kwenye utapeli...kumbe wanapata hela sana tu kwa siku anaweza akapata hata milioni tano hadi saba hahahaha!
Hii namba ni hatari kuliko sumu ya panya. Wakikupigia Kama hujaenda shule kuna kila dalili kuwa watakuibia. Nahisi mwanzoni walikuwa wstumishi WA vodacom wakafukuzwa Kazi sasa wapo mtaani.Namba +255743539329 imenipigia na kujifanya kunipa hongera eti nimeshinda bonus ya Mpesa, wanasema niwatajie kiasi kilichopo kwenye account yangu ya mpesa, nikacheka nikawaambia kwa nini mmetumia namba binafsi? Wakakata simu haraka na sasa hawapatikani tena. TCRA naomba niwasilishe malalamiko haya kwenu au mnipe utaratibu wa kuleta malalamiko. Nimeweka hapa kuwapa tahadhari wengine.