Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,706
Ndugu watanzania leo nawaambia hii kitu inatokea lakini sasa hivi is too much,eneo la kibiashara la mlimani city ni hatari sana kwa wizi wa magari,side mirrors na vifaa vingine vya magari
..watu kibao wamelizwa hata sasa hivi ninavyopost kuna mtu analizwa
Ukiacha mkoba,laptop au kitu kingine ndani umeliwa!!! Wale jamaa ni soo ukifika pale kuna watu wana ku monitor mmoja anakufuatilia kila hatua unapokuwa ndani ya malls akiwasiliana na wengine kwenye parking ambao kazi yao ni kuchukua wanachokitaka watu wamelizwa mpaka magari . Afu kuna vijamaa vinasimama jukwaani vinasema Tanzania amani tele ..kudadadeki amani gani watu sasa wakija na magari yao wanangoa side mirrors na kuingia nazo ndani wakiogopa kulizwa?
Anyway ninachowaambia mkienda Mlimani city na motokaa zenu muwe makini Hivi nani anahusika na ulinzi Mlimani city?