Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,979
- 27,911
ona hii njombe!Tutazilinda kwa style ya kutokusanyika na kwa kuwa kwenye mstari wa kura mpaka mwisho kama alivyoshauri wakili msomi Peter Kibatala. Huu ni mwisho wa mkoloni mweusi.
Hisia hizi umezitoa wapi tupe sourceNi wazo binafsi,
Upo uwezekano mkubwa siku ya leo jumamosi mpaka kesho alfajiri,vitendo vingi haramu hasa vinavyousiana kura za maruhani vinaweza vikatokea!,tuwe makini sana,mara tuhisipo hali isiyo ya kawaida mahali popote tanzania tuviripoti police mapema!/
**unaweza kuona mtu amevaa tai ukadhani ni mstaarabu kumbe ni wa hovyo zaidi ya wewe uliyevaa malapa**
Ni wazo binafsi,

Safi sana ma'mdogo,kumbe una akili kama hiyo avatar yako....au ni picha ya kweli?Ushauri wa nyongeza, wale wana Ukawa wote watakaokuwa wanatoka kusikiliza mahitimisho ya kampeni waende nyumbani salama kwa utulivu kwani kukitokea purukushani yoyote hata kama ni ndogo kiasi gani, watakuwa wameikosea jamuhuri na wanaweza kamatwa, rundikwa ndani hadi jumatatu na kupoteza haki ya kupiga kura. Soma Daniel 5:25 hadi 28 kwa ushauri wa ziada. Zingatia!!!!
Allah Akbar
Ni wazo binafsi,
Upo uwezekano mkubwa siku ya leo jumamosi mpaka kesho alfajiri,vitendo vingi haramu hasa vinavyousiana kura za maruhani vinaweza vikatokea!,tuwe makini sana,mara tuhisipo hali isiyo ya kawaida mahali popote tanzania tuviripoti police mapema!/
**unaweza kuona mtu amevaa tai ukadhani ni mstaarabu kumbe ni wa hovyo zaidi ya wewe uliyevaa malapa**
Kwa nini tunakuwa na hisia za kutapatapa hivi? Mbona hatujiamini namna hii. Hii ni dalili ya kushindwa mapeeema asubuhi. Mbona ccm hawalalamiki namna hii.
Si Lowasa alisema tukishapiga kura tuondoke zetu yeye atajua namna ya kuzilinda? Au usemi huo aliufuta. Kama hajaufuta , piga kura nenda zako nyumbani kwako kaa na mmeo na watoto na ndugu mpige soga. Mambo mengine muachiw Lowasa

Hisia hizi umezitoa wapi tupe source