scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,860
- 5,738
Mwisho nshapanda mpaka ya saba sema s kwa sababu n maramojamoja ila kipindi nasoma chuo zilkuwa nne kila sku unapotoka na kuingiaUnapanda na ngazi hata kama ni ghorofa kumi mkuu!? Au utaanza kutumia lift watakapo badilisha technology?
Mda huo kitendea kazi cha Papuchi hakiwezi amka hata kwa dawa, saikolojia ipo ovyo hauwezi hata waza vile.kajamaa kadogo wakati maisha yako yapo hatarini hakuna kingine kitakachoingia akilini mwako na kwenye hisia zako zaidi ya kuomba uokolewe/uokoke na janga hilo tu. Tena utaweka ahadi za kila aina kwa Mungu wako kua ukitoka salama utaacha dhambi zote 😀😀😀
Si wangemega tu hata kidogo kwenye kodi tunazowapa waweke ya kisasa tungewaelewa tuPole sana, takataka kama hilo lipo TRA Dar es salaam, pale kukwama ni kila leo
Wakati huo kulikua na ofisi za Wizara ya Viwanda na Biashara, BRELA na Ofisi za Ushirika zenyewe. Ma lift yao mawili yalikua ya kizamani sijui kama wameshayabadilisha. Miaka ya nyuma kidogo ya hapo wakati CTN(Baadae DTV na sasa Chanel Ten) wakiwa ghorofa ya tisa na kumi kuna mtu alikua anakaa ndani ya lift muda wote ili kui oparate kama dereva!Sitasahau siku ya kwanza kupanda lift.
Sikupata matatizo yoyote wala sikuwa na sehemu yoyote na sababu maalumu ya kwenda huko, ila nilitaka tu kujua inakuaje kuaje ni pale Lumumba jengo la ushirika mwaka 2002. Naenda narudi naenda tena. Hadi kichefu chefu.
Hahahaa mkuu, alivyokuja kunikumbatia kweli nilimuona ila akili yangu nadhani pamoja na ya kwake haikua huko unapoelekea wewe, maana dada wa watu alidhani malaika mtoa roho kaja kuchukua roho yake, sasa labda akinisogelea mimi naweza kumfukuza huyo ziraeli mtoa roho. Wakati huo na mimi akili yangu inatoa ahadi kedekede kwa Muumba pindi akiniokoa na janga hilo nitamfanyia nini yeye Mungu wangu. Nilijua dada anataka kupoteza fahamu baada ya kufunguliwa milangoNimependa ulivyomkumbatia huyo dada mpaka kablidi.
Swali langu watu hawajaisi kitu humo kwenye elevetor kinaendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala usimcheke aiseeNa rfk angu hapandi lift ata iwe gorofa ya 35 atapanda ngazi
Hizo ndio serikali ingehakikisha zinawekwa sehemu zote wanapotaka kuweka liftSasa ivi kuna elevator za Vioo at entrance na Pia zina Back up Power incase umeme umekata huku Inasubiri generator au umeme urudi basi inashuka flow ya chini yake na kufungua mlango mpaka power irudi
Kwa juu inatakiwa waandika maxium users at a time, Mfano 8 people only maanake ni kuwa Ikitokea hitilafu hewa ya humo ita wa accommodate kwa muda mtakao kuwa mnasubiri rescueHalafu sehemu nyingine lift zinajaa balaa! Kama lile jengo la RITA pale karibu na Bilicanas. Unaomba Mungu lisitokee jambo baya maana inabidi hiyo rescue action isichelewe hata kwa dakika moja amasivyo itakua balaa kwa watu wanavyojazana
Nimefurahinkwelim kweli. Ati milango ya kioo nitauvunja!! Wadhani hicho lkioo ni laini tu kwamba ukipiga chafya tu tiyari kimevunjika?? Hapana. Kioo uzuri wake ni kuwa, wataalam wanawaona mpo wapi hivyo watafanya bidii kuwatoeni. Mlango wa lifti ni madhubuti saana kwa usalama wako pia.Hata bongo zipo za vioo ni nzuri sana kwajili ya usalama
Budget sasa mkuu, Ila watu wa malls wanajitahidi sana Kuweka izo mkuu ila hata mimi huwa nasoma upepo wa jengo afu ndio naamua either lift au Nichape tu mguu ata kama ghorofa ya 15Hizo ndio serikali ingehakikisha zinawekwa sehemu zote wanapotaka kuweka lift
Nimecheka Sana, ishawahi nitokea hiyo,Mimi nilidhani wananipima uvumilivu maana yalikuwa Maswala ya kuomba kazi, but where,kukuenjoy tu!Ndio maana jengo la CCM pale Lumumba St la ghorofa 8 wameachana na lift kabisa kina dada R. Mogela wameshazoea kupanda na kushuka ngazi kila siku!
Meza ya 'Mapokezi' yao iko chini ukiuuliza ofisi fulani gorofa ya sita hata kama hawapo atakwambia "wapo we panda juu" utahenya na ngazi na kukuta hola wamefunga au umekosea namba ya mlango! Inabidi ushuke ukamuone yule resepshenist! Anakuambia "jaribu mlango na. 8 ghorofa ya 8" unamwangalia kwa hasira! Kummeza huwezi! Hapoapo unamuuliza wapi naweza kwenda short call? Anakujibu gorofa ya nne kushoto baada ya ngazi! Ghafla kichefuchefu kinapanda! Chini! Kimya!