Tahadhari kwa watumiaji wa TECNO, Infinix na iTel

Tahadhari kwa watumiaji wa TECNO, Infinix na iTel

Ukiskia "fundi mchundo"
Basi ndio huyu Mtoa mada.

Nilikua na itel s11 ilikufa betri tangu 2016, nikanunua Simu mpya ile nikaipaki.

Imefufuliwa mwaka 2019 na shemej yangu ameitumia nyumban mpk mwaka Jana alipoibiwa.
 
Watakuelewa mkuu ata samsung nazo kuna mda zinazima bila sababu
Mm ni fundi simu upande wa hardware na ni mzoefu kwa miaka 10 na 90% ya simu ninazotengeza ni tecno infinix na itel. ni kweli kila simu inaharibika na kila siku napokea simu zenye matatizo mengi na matatizo mengi ni yale tuliyo yazoea.
Lakini kuna mengine ni mapya kulingana na teknolojia inavyo kuwa.

Lakini kuna matatizo ambayo nimeyagundua kwenye hizo simu tatu kwa hii wiki nimepokea
Simu karibia 15 ambazo zimezima Peke yake na kwa maelezo ya wateja wanasema walikuwa wameziweka tu ndani. Na kwa sababu mbali mbali Na mwisho wa siku wakakuta zimezima peke yake Na hizo simu mara nyingi huwa nikizipima na nakuta zina umeme mdogo ambao hauwezi kuwasha simu. hata ukibusti betri haziwaki kabisa hata ukiweka betri mpya zenye moto wa kutosha haziwaki na hata tukichomeka kwenye kwenye computer ili kuziflashi zinakuwa hazionekani kabisa. Na hivyo ndivyo zinakuwa imekufa moja kwa moja.

Lakini baada ya kufanya utafiti kwa muda mrefu nimegundua hizo simu nyingi zinazozima kwa namna hiyo ni zile simu zilizo Isha warranty. na nimeyagundua hizo simu ni zie toka zimetengenezwa baada ya mwaka mmoja na ikikaa siku 30 ikiwa imezima chaji hiyo simu ujue itakufa moja kwa moja.
Na nimegundua hiyo inatoka na mikataba mibovu waliyo Ingia hayo makampuni yanayo wauzia software kwamba wao wanao wauzia software wanawapa security ya mwaka mmoja tu.

Kwahiyo ushauri wangu kwa watumiaji wa infinix tecno na itel usiiache simu yako iishe chaji kabisa na ikae siku 30 bila kuichaji.
Wakati tunaendelea kutafuta solution.
 
Ndio maana mimi sinunui vifodi mimi akuu hizo niza wenye hela ya za kupoteza
 
Ukiskia "fundi mchundo"
Basi ndio huyu Mtoa mada.

Nilikua na itel s11 ilikufa betri tangu 2016, nikanunua Simu mpya ile nikaipaki.

Imefufuliwa mwaka 2019 na shemej yangu ameitumia nyumban mpk mwaka Jana alipoibiwa.
Ukitoa betri haizimi hata mm nina saketi hapa zina miaka miwili hazijazima.
Ila kaa ukijua hata hiyo simu unayo miliki ww sio mmiliki peke yako na ni rahisi sana wamiliki wengine kufanya chochote simu ikiwa na betri zima ndani.
 
Na hii infinix yangu izime, nitakua mgeni wa nan mie?
Pangu pakavu, uwiiiiiiih. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Du[emoji849][emoji849]yani wewe mtu ..umejiunga JF 2019 tayari umefikisha post 43606 na [emoji40][emoji40][emoji40]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom