Tahadhari kwa watumiaji wa smartphone

Tahadhari kwa watumiaji wa smartphone

ELAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
410
Reaction score
151
Habari zenu ndugu zangu wanajamvi! Kwa wale mnaotumia pattern kama security ya simu zenu kuweni makini na vumbi au unyevu / grease kwenye screen zenu, kwani huonesha pattern unayotumia na kumwezesha mtu ku-unlock simu yako. Tujitahidi kufuta screen zetu mara kwa mara.
 
Ni kautafiti kama kablaza K wa futuhi au minong'ono tu?
 
Kwa hyo mim nae tumia ya batani hainihusu!
 
Habari zenu ndugu zangu wanajamvi! Kwa wale mnaotumia pattern kama security ya simu zenu kuweni makini na vumbi au unyevu / grease kwenye screen zenu, kwani huonesha pattern unayotumia na kumwezesha mtu ku-unlock simu yako. Tujitahidi kufuta screen zetu mara kwa mara.

cc nifah
 
Last edited by a moderator:
kuna siri gani kwenye simu zenu? na hilo la pattern kuonekana nadhani lilianzia mmu
 
Ni kautafiti kama kablaza K wa futuhi au minong'ono tu?
Umeelewa lakini?

Yaani kama simu yako ina vumbi, wakati unachora chora mistari ili kuunga dots kwa ajili ya password, inaonekana kwenye screen hiyo mistari.

Haihitaji kuaminishwa saaaana wala kufikiri labda ni tetesi, maana logically tu ni kweli!!
 
Back
Top Bottom