Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,874
- 109,943
Edo kumwembe siku hizi katukimbia amejoin whatsup sababu Facebook vijana wengi wanatukana matusi ya nguoni wasipopenda mada anayo post.
Kama mtakumbuka kipindi cha nyuma watumiaji wa Internet tulikuwa wachache na wengi wetu hata uwezo wa kumiliki laptop tulikuwa hatuna tulitegemea kulipia one hour kwenye cafe kusoma email zetu na kuperuzi hapa na pale.
Sasa kuna mapinduzi makubwa ya teknolojia na mchina ndio kamaliza kazi na Vitecno na Huawei.
Baada internet kushika kasi wambea wa mtaani nao wameamuwa kutufuata mitandaoni mtu anakuomba urafiki ukimkubali kimya chake utadhani hayupo kumbe kila siku anafuatilia tu maisha yako.
Nina friend request kama 10 hivi nimeziweka pending, mchina katuletea shida.
Ulitaka kusema nini mkuu?
we ni ke au me?
Kwa wale wote ambao hamjanielewa usiwe real tena kwenye Facebook hata pibha unazopost chagua za kupost.
Wambea mtaani wamedoda sasa wanawafuata huko huko, hebu jiulize mwaka mzima mtu hajawahi kupost wala kucomment wala kulike post zako na yupo online daily huyu wewe ni wa nini kuwa kwenye friend list? Yeye kazi yake kupekuwa profile za watu na kufuatitilia activities zako.