Chaliifrancisco JF-Expert Member Jan 17, 2015 23,599 70,629 Oct 24, 2021 #21 Danny Massawe said: ningekusikiliza leo yasingenikuta yani haiwezekani kutoa wala kuweka ela 22bet kwa sasa, na haijulikani tatizo litaisha lini Click to expand... Duh nina mkeka wangu kwa hawa watu unasubiri game moja tu ina maana nikishinda sitaweza kuvuta kimango changu?
Danny Massawe said: ningekusikiliza leo yasingenikuta yani haiwezekani kutoa wala kuweka ela 22bet kwa sasa, na haijulikani tatizo litaisha lini Click to expand... Duh nina mkeka wangu kwa hawa watu unasubiri game moja tu ina maana nikishinda sitaweza kuvuta kimango changu?
Dr Msweden JF-Expert Member Nov 3, 2020 2,632 9,450 Oct 24, 2021 #22 Chaliifrancisco said: Duh nina mkeka wangu kwa hawa watu unasubiri game moja tu ina maana nikishinda sitaweza kuvuta kimango changu? Click to expand... Sahau hiyo pesa utakuja kuipata baada ya mwezi au usiipate kabisa
Chaliifrancisco said: Duh nina mkeka wangu kwa hawa watu unasubiri game moja tu ina maana nikishinda sitaweza kuvuta kimango changu? Click to expand... Sahau hiyo pesa utakuja kuipata baada ya mwezi au usiipate kabisa
Danny Massawe JF-Expert Member Oct 15, 2012 1,295 756 Oct 26, 2021 #23 naona wamerejesha mobile payment
Danny Massawe JF-Expert Member Oct 15, 2012 1,295 756 Mar 31, 2022 #24 tatizo la kudraw pesa limerudi, Watumiaji muwe makini
avogadro JF-Expert Member Apr 30, 2013 7,350 12,830 Mar 31, 2022 #25 Danny Massawe said: tatizo la kudraw pesa limerudi, Watumiaji muwe makini Click to expand... Fafanua tatizo lipo wapi, nini kimekutokea na unapata ujumbe gani ili utusaidie
Danny Massawe said: tatizo la kudraw pesa limerudi, Watumiaji muwe makini Click to expand... Fafanua tatizo lipo wapi, nini kimekutokea na unapata ujumbe gani ili utusaidie