NITASIMAMA
Member
- Sep 5, 2018
- 22
- 2
HATIMAE UDOM WAMESIKIA KILIO CHETU NA KAMA WALICONFIRM BILA YA RIDHAA YA MLENGWA,UKIINGIA TU KWENYE AKAUNTI YAKO YA UDOM WANAKUTAKA UCONFIRM UPYA,SASA NI FULL SHANGWE TU
Wasiwasi wako hata udsm walikua wana confirm automatically bila code na kama ukiacha hivyo muda wa confirmation ukiisha inakua ndio umeconfirm hivyoHATIMAE UDOM WAMESIKIA KILIO CHETU NA KAMA WALICONFIRM BILA YA RIDHAA YA MLENGWA,UKIINGIA TU KWENYE AKAUNTI YAKO YA UDOM WANAKUTAKA UCONFIRM UPYA,SASA NI FULL SHANGWE TU
Sio udom tu hata udsm walikua wanafanya hivyo labda kama wamebadili baadae angalia attachment nilizowekaGreat. Huu ni ujanja wa kujipatia wanafunzi wengi lakini unakosa uungwana na kuleta confusion. TCU ilisimamie hili na ku-deal na UDOM accordingly.
Hamna udom wameshaacha kuconfirm bila ridhaa ya mwanafunzi kama walivokua wanafanya awali,sasa ivi akaunti yangu inasoma kama mwanzoni tu kabla hawajaconfirm wao!Wasiwasi wako hata udsm walikua wana confirm automatically bila code na kama ukiacha hivyo muda wa confirmation ukiisha inakua ndio umeconfirm hivyo
Wotw udom na udsm walikua wanafanya hivyo itakua wamepata maagizo we ulitumia code kufanya confirmation maan hapo haikutumika code kwa udsm wote walianzza hivyoHamna udom wameshaacha kuconfirm bila ridhaa ya mwanafunzi kama walivokua wanafanya awali,sasa ivi akaunti yangu inasoma kama mwanzoni tu kabla hawajaconfirm wao!
Kwa hiyo mnasema sasa wote UDOM na UDSM wameacha mchezo huo? Na wale ambao hivyo vyuo viliconfirm vyenyewe je statasi zao zimebadilika?Wotw udom na udsm walikua wanafanya hivyo itakua wamepata maagizo we ulitumia code kufanya confirmation maan hapo haikutumika code kwa udsm wote walianzza hivyo
karibu mwanzadaaah hata mie yamenikuta ayo mm nimeconfirm saut cha mwanza na kuta na udom confirmed nacho tyr nimechanganyikiw hapa ukipiga simu tcu hawapokei ukiwa email hawajib ss nimeamua nituliezangu tu hap maan msaada nimekosa