nadiegirlie
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 472
- 637
wewe acha unaa.makontena mapya
new era
sura mpya
mnasubiriwa kwa hamu na mabaharia wa vyuo wenye magetto mitaani hata wale wafanyakazi karibu na vyuo wanawasubiri kwa hamu kubwa sana
kuweni makini mabinti usingle mama huanzia hapa kwa baadhi,kuachishwa chuo na kupata maumivu makali ya mapenzi kuweni makini sana.
NAWAPENDA
Madiwani we uliwahi kuwaza mwanachuo naje kwa mtamakontena mapya
new era
sura mpya
mnasubiriwa kwa hamu na mabaharia wa vyuo wenye magetto mitaani hata wale wafanyakazi karibu na vyuo wanawasubiri kwa hamu kubwa sana
kuweni makini mabinti usingle mama huanzia hapa kwa baadhi,kuachishwa chuo na kupata maumivu makali ya mapenzi kuweni makini sana.
NAWAPENDA
Nadie kwa mtazamo wako je ni kwanini yatokee ni njaa,tamaa, msukuma toka kwa wanaume au marafiki au malezi ya hovyo kwa dada zetumakontena mapya
new era
sura mpya
mnasubiriwa kwa hamu na mabaharia wa vyuo wenye magetto mitaani hata wale wafanyakazi karibu na vyuo wanawasubiri kwa hamu kubwa sana
kuweni makini mabinti usingle mama huanzia hapa kwa baadhi,kuachishwa chuo na kupata maumivu makali ya mapenzi kuweni makini sana.
NAWAPENDA
nyie hii elimu mnaizidisha kwa kweliTulia wewe... Unatuharibia mitego..
Chuo ndio sehemu wanayotakiwa wapate elimu ya kila kitu hadi mahusiano.
Waache waje hivi vitu haviepukiki... Ni ukijaribu kuvikwepa utapoteza nguvu kuubwa na maisha yatakuendea kombo
ni vyote mkuu sasa hapa naongea na wale ambao ni good girls waendelee kujiheshimu wakienda huko vyuoniMadiwani we uliwahi kuwaza mwanachuo naje kwa mta
Nadie kwa mtazamo wako je ni kwanini yatokee ni njaa,tamaa, msukuma toka kwa wanaume au marafiki au malezi ya hovyo kwa dada zetu
Poa nafkri watakua wamekuelewa sana umeongea vizuri sanani vyote mkuu sasa hapa naongea na wale ambao ni good girls waendelee kujiheshimu wakienda huko vyuoni