Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,202
- 99,941
Ninachoogopa ni kwamba JK anaweza akaigeuza ikawa hoja yake na kupata kisingizio cha kusafiri kwenda kutangaza kuwa Tanzania kuna demokrasia
Ni kweli ndugu yangu, maana Viongozi wa Chadema ni binaadam kama walivyo watu wengine kama Mwakyembe.Siku mtakapokutana na JK nawaomba muwe makini sana na vyakula na vinywaji vitakavyokuwepo kwa sababu hamuwezi kujua kwa nini kakubali haraka kukutana na nyie, ni mawazo yangu tu.
Hawezi chochote make CDM ndo inawafuasi wengi, na isingekuwa kuchakachua, asinge kuwa Rais, hiyo tu inampa hofuFikiria mara mbili hivi unafikiri kama Jk angeamua kutumia dola yake kuwadhuru chadema angeshindwa? mimi naamini anajua kuwa madhara ya kuwadhuru viongozi wa chadema chama kikuu cha upinzani kwa sasa ni makubwa kuliko kuwaacha na uhai wao. hawezi kutumia nafasi ya Ikulu kufanya usemayo
tutumie fursa hii adimu ambayo Rais katoa kwa chadema kujenga hoja lakini pia kuwaongezea hoja chadema ambazo wakiwakilisha kwa Rais zitakuwa na manufaa kwa taifa letu.
Kila kukicha hali ya kutokuaminiana hapa nchini imekuwa ikiongezeka kupelekea wanachi kutokuamini kama baadhi ya vifo na hata magonjwa yanayowapata watanzania wenzetu hayana mkono wa mtu. Katika wakati huu ambapo timu ya CHADEMA inajiandaa kukutana na Rais ni vyema ikazingatia pia swala la usalama mara itakapokuwa ugenini.
Kwanza: Wajumbe wasisalimiane/pongezana kwa kushikana mkono na mtu aliye vaa gloves
Pili: Siku hiyo wote wafunge.
Possibly, CHADEMA leadership might have considered and analysed security options otherwise this post is just an alert.
Kumbe magwanda Ikulu ni wageni?
Hili nalo neno, maswala ya polonium si mchezo. Hii nafasi si hadimu kama PIPIJOJO alivyo sema Jk ni kichaka tu ukisema wakati wowote umwone unamwona nothing special, anakutana na hata machangudoa then can not be special in that way.
Siku mtakapokutana na JK nawaomba muwe makini sana na vyakula na vinywaji vitakavyokuwepo kwa sababu hamuwezi kujua kwa nini kakubali haraka kukutana na nyie, ni mawazo yangu tu.
Hivi unadhani kuna kitu ? Si ulimsikia akiongea na wazee wenye mawazo kama yake?