Tahadhari kwa Timu ya CHADEMA?

Kweli Hili ni la Muhimu!! Kwani Kuna Habari zimezagaa Kuwa Muheshimiwa Mwakiembe alipatikana siku Ya Engineers Day pale Mlimani City!! Sasa kwa Hawa watu walivyo Hatari Wanaweza Kutumia Muda Huo Muafaka!! Nadhani Ile Polonium 210, na 201 Hazijaisha wanaweza Kuzitumia Hapo!! Duh!! Nchi Hii ni Zaidi ya Tuijuavyo!! Chukua Tahadhari Kabla ya Tukio!! Ni Ushauri Tu!!
 
Chadema siyo hawa danganyiki na wali wa wakwenye mkeka
 
kwani agenda ya sumu ni moja ya vipengere ndani ya katiba mpya? ebu tujuze itakuwa ibara ya ngapi na kifungu cha ngapi?
 
hata mchawi hawezi kukupa sumu unapomtembea anakufua nje ya nyumba yake ili kupoteza ushahidi Jk hawezi kufanya upuuzi huo Ikulu
Wewe huwezi kufanya huo upuuzi, usimsemee JK, hata mimi nilishawahi kumhisi kwamba hawezi kulazimisha kukaa madarakani ilihari kashindwa uchaguzi
 
Tena ikibidi wabebe na misalaba, rozari, ikibidi na biblia kwa wakristu na wale waislam wabebe msahafu maana kama CCM wanamalizana wenyewe itakuwa kuwamaliza CHADEMA. Nawashauri hata safu ya wakubwa ingepunguzwa, Rais wetu mtarajiwa Mheshimiwa Dr.Slaa asiambatane nao asalie kwani huwezi jua wale jamaa hawatabiliki hata kidogo! Kufunga ni muhimu, wasinywe hata maji!
 
Kweli Hili ni la Muhimu!! Kwani Kuna Habari zimezagaa Kuwa Muheshimiwa Mwakiembe alipatikana siku Ya Engineers Day pale Mlimani City!! Sasa kwa Hawa watu walivyo Hatari Wanaweza Kutumia Muda Huo Muafaka!! Nadhani Ile Polonium 210, na 201 Hazijaisha wanaweza Kuzitumia Hapo!! Duh!! Nchi Hii ni Zaidi ya Tuijuavyo!! Chukua Tahadhari Kabla ya Tukio!! Ni Ushauri Tu!!

kama mwakyembe ameambiwa alikula sumu ni nini kinamzuia kusema kwamba madaktari wa huko India wamesema amepata madhara ya sumu? mbona tunamsemea wakati hajakata kauli?

inaweza kuwa ni sumu kweli lakini kwa nini tuendelee kuongea kwa hisia wakati mwakyembe sio mtu wa kuogopa kusema jambo? ndio maana wengine tunapata mashaka kama ataendelea kukaa kimya kwa jambo linalotaka kuchukua uhai wake
 
Wakijisahau tu kazi kwisha! tutaanza kuona mmoja mmoja anaugua, mra oooh India mara oooh Muhimbili! Majuto ni mjukuu na asiyesikia la mkuu............
 
Acha Chadema wakaanze kuzoea magogoni kabisa!! Ili wakiingia wasije anza kupoteza muda na dhifa za kitaifa kila wakati! Tunataka wakiingia mara moja kazi inaanza. JK ni Chadema damu damu nani asiyejua hilo 2005 alikuwa aingie magogoni kama magamba wasingeshtuka?
 
Siku mtakapokutana na JK nawaomba muwe makini sana na vyakula na vinywaji vitakavyokuwepo kwa sababu hamuwezi kujua kwa nini kakubali haraka kukutana na nyie, ni mawazo yangu tu.

Hawana jipya na wala hawaogopwi kiasi cha kufikia hatua ya kuwahujumu hao. Uwe na amani ndugu yangu.
 
Ila kinga ni bora kuliko tiba. Wabebe maji yao, vitambaa vyao, simu wawe nazo makini, wavae mask nk. kazi kweli kweli IKULU haiaminiki hawaoni shida kumwakyembe mtu yeyote wanaehisi atakuwa hatari kwao 2015.
 
PIPIJOJO hujaenda DOM,au ndo umepewa jukumu la kuwakilisha humu jukwaani?
Je na wewe unamwakilisha nani humu? Hapa ni sehemu ya kila mtu kutoa maoni yake si kutumwa na mtu inawezekana wewe ndiyo umetumwa kuwawakilisha watun humu.
 
Wewe huwezi kufanya huo upuuzi, usimsemee JK, hata mimi nilishawahi kumhisi kwamba hawezi kulazimisha kukaa madarakani ilihari kashindwa uchaguzi
Pengine sina kumbukumbu nzuri, ni uchaguzi gani eti alioshindwa JK?
 
Nakubaliana na wewe 101%. JK na ccm siyo watu wa kuwaamini kabisa. Ushahidi upo, Kolimba, Mwandosya na Mwakyembe.
Nendeni na vinywaji vyenu, na ikiwezekana mkague na viti mtakavyokalia.
Dr. Silaa: please usiwaamini hawa mumiani wanywa damu za watu.
 
Nakumbuka siku ya the work out bungeni
JK alisema

‎"Mtatoka mtaenda mtarudi kwani mimi ndio Rais wenu
hamna mwingine wa kumpelekea matatizo yenu ila ni mimi"
 
Siku mtakapokutana na JK nawaomba muwe makini sana na vyakula na vinywaji vitakavyokuwepo kwa sababu hamuwezi kujua kwa nini kakubali haraka kukutana na nyie, ni mawazo yangu tu.

Hilo nalo NENO,atake lipinga atakua na matatizo yake.
 
Nilitegemea kwamba mngewashauri wakae macho katika kuwasilisha hoja zao ili angalau waonekane kuwa wamechangia mnachokitaka kumbe bure kabisa. Mnayoyafikiria hayapo kwa vile JK hawaogopi magwanda ila magwandwa ndiyo wanajishitukia kwa kuwa walishatamka kwamba hawamtambui lakini leo wanampigia magoti baada ya kutambua kuwa JK ndiyo mwenye nguvu ya umma na si wao.
 
Back
Top Bottom