Kumbe magwanda Ikulu ni wageni?
hahahaaa Man kesha pigwa kimoja na Benfika. dakika ya 23.Siku hiyo wote wafunge
Kila kukicha hali ya kutokuaminiana hapa nchini imekuwa ikiongezeka kupelekea wanachi kutokuamini kama baadhi ya vifo na hata magonjwa yanayowapata watanzania wenzetu hayana mkono wa mtu. Katika wakati huu ambapo timu ya CHADEMA inajiandaa kukutana na Rais ni vyema ikazingatia pia swala la usalama mara itakapokuwa ugenini.
Kwanza: Wajumbe wasisalimiane/pongezana kwa kushikana mkono na mtu aliye vaa gloves
Pili: Siku hiyo wote wafunge.
Possibly, CHADEMA leadership might have considered and analysed security options otherwise this post is just an alert.
Kumbe magwanda Ikulu ni wageni?
Mchawi huogopa mchawi mwenzake..kazi kweli
Kila kukicha hali ya kutokuaminiana hapa nchini imekuwa ikiongezeka kupelekea wanachi kutokuamini kama baadhi ya vifo na hata magonjwa yanayowapata watanzania wenzetu hayana mkono wa mtu. Katika wakati huu ambapo timu ya CHADEMA inajiandaa kukutana na Rais ni vyema ikazingatia pia swala la usalama mara itakapokuwa ugenini.
Kwanza: Wajumbe wasisalimiane/pongezana kwa kushikana mkono na mtu aliye vaa gloves
Pili: Siku hiyo wote wafunge.
Possibly, CHADEMA leadership might have considered and analysed security options otherwise this post is just an alert.
ha ha ha ha !!! Kinga bora kuliko tiba!!Siku mtakapokutana na JK nawaomba muwe makini sana na vyakula na vinywaji vitakavyokuwepo kwa sababu hamuwezi kujua kwa nini kakubali haraka kukutana na nyie, ni mawazo yangu tu.
Siku mtakapokutana na JK nawaomba muwe makini sana na vyakula na vinywaji vitakavyokuwepo kwa sababu hamuwezi kujua kwa nini kakubali haraka kukutana na nyie, ni mawazo yangu tu.