Tahadhari kwa namba hizi

Tahadhari kwa namba hizi

Khaaa mkuu mie pia walinipigia wa dizaini hiyo ila wao ilikuwa ni oda ya dawa za kilimo.... Mfyuuuuu nilimzimia simu
 
Ngumu sana ...nyingine winitext eti ww uko wapi bro mkeo anapointment na mshikaji wangu mmjoa hiv asikudanganye yuko kazin kumbe mm n mwanamke dahhh niliinjoy kuchat nae sana mana nilikuwa bored .....nilipimwambia nakuja ulipo nije kukupa hyo hela ya asante n atuende sehem ya kumfumania hapo akasema endelea na shuhul zako kwan alikuwa anataka nimtumie hela buku 20 ya kunywa bia akiwangoja mke wangu na shoga akke ambaye wangekuja kumfata mshikaj wake......
 
Hawa matapeli wanafanana na wale wanaotuma sms za Vodacom ambazo ninazipata daily , kuwa namba yangu imechaguliwa. ..kushiriki. ....draw ya ku win 500 000,000. Sms Tsh 300.

Let assume wana wapiga waTz300×100,000 =30,000,000
Wananiplania hawa... hawajui mimi sio wa sport, sport _____
 
Mbona wanakamatwa sana tu na jeshi la polisi kwa msaada wa TCRA. kimsingi likishatokea tatizo kama hilo jitahidi kuripoti kituo cha polisi karibu yako na uwaachie hizo namba. Jeshi la polisi na TCRA wapo makini sana mkuu na nimeshuhudia wengi tu wanamna hio wamekamatwa
Ok.
 
...teh hee hee..sasa unakaripa tena badala ya kuongea kiungwana?
...kimsingi hilo ni TATIZO LAKO;dili nalo!
.usihamishe matatizo yako yawe ya kitaifa!simpo.
We nawe una matatizo!
Kwny hiyo comment kuna sehem niliyokaripa km unavyodai? Au umejisikia tu kujibu?!

Matatizo unayo ww uliyejishtukia mi sina na sijataja mtu!

Imekugusa, change! Huna haja ya kujibu
 
Tuwe makini sana wakuu
Ilibaki kidg tu nipigwe mzgo wa simu za million 3.5 kupitia kupatana niliweka tangazo la cm zang za dukani mdau akajifny akanielekeza kwake ambapo ni vichochoroni ucpime na usafir wa bodaboda alintafutia ..bila mfnya kaz wang wa dukan kunpa full story za matapel ingekula kwang.
 
hao matapeli wapo humu humu na namba wanapata humu humu. wanakusoma inshu zako ndio wanakutafuta. kuwa waliwahi kunitafuta wakisem kuhusu spare za trekta nikawashukia mala ya pili wakanitafuta walipata taarifa naenda mwanza wakataka kunitapel nikawa nimewaotea kidogo niwawahi mm
 
Utapeli wa zamani sana huo, wanaopigwa ni mabwege orijino. Sasa wamehamia kwenye mashirika UNICEF,PSI, OXFAM wengine wanasema wawakilishi katika balozi zilizoko nchini. F...k them
 
voda nao ndo hao hao mi sisomagi izo msg zao, na lile tangazo lao la M power eti manzi anakopaga 20K kashinda 20M, lottery ni upuuzi ni kama pathological gambling hutoki huko
 
Pole sana mkuu! Lakini hukua na sababu ya kuendelea 'kusumbuka' baada ya kugundua 'mtego' wao.
 
We nawe una matatizo!
Kwny hiyo comment kuna sehem niliyokaripa km unavyodai? Au umejisikia tu kujibu?!

Matatizo unayo ww uliyejishtukia mi sina na sijataja mtu!

Imekugusa, change! Huna haja ya kujibu
....kwi kwi kwi kwi...basi sawa;kama huna matatizo,
.......kafie mbele!
 
Mimi nilitaka kutapeliwa kwa vifaa vya matrekta hapa morogoro eti mwakilishi anatokea singida mimi niwe mwenyeji wake nikachukue hivyo vifaa sehemu alinielekeza keenye risiti niandike hela ya juu zaidi ya bei halafu niende nashera hotel nimpe yule mwakilishi ataniandikia chek ya hizo hela zitakua na mzidi wa karibia milioni 4.7 tutagawana na yeye ila nimpe mwandika risit pale kwenye vifaaa sh. Laki 5 kwanza ili aniandikie hizo risiti kwa bei ya juu na namba zao wote alinitumia na walifanya mawasiliano kama kawaida nikamtonya ndugu yangu akaniambia matapeli niachane nao duu kila kukicha watu wanabuni mbinu mupyaaaa
 
Back
Top Bottom