Tahadhari kwa dada zetu na mama zetu.

Tahadhari kwa dada zetu na mama zetu.

Dan Geoff P

Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
86
Reaction score
101
Salaam kwenu wana jamvi. Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniweka hai mpaka hivi sasa.
wadau leo nimeona niongee kuhusu dada zetu..kiufupi nafanya kazi katika moja ya hospitali hapa dar es salaam nikiwa kama Mfamasia..katika kazi yangu nimekutana na dada zangu wengi wakisumbuliwa na kuwashwa katika sehenu zao za siri mara tu baada ya kumskiza siku zao. mara nyingi tatizo hili linakuwa linasavabishwa na fungus..tatizo hili limekuwa common zaidi katika siku za hivi karibuni..zamani kidogo na hata sasa imekuwa ikizoeleka kwamba matumizi ya vyoo ambavyo sio visafi vinasababisha tatizo hili...ni kweli ila sio kila siku ni choo tu...kwa sasa pads (pedi) zimekuwa zikisababisha sana hilo tatizo..ni vizuri mkajitahidi kutumia pads ambazo mnazinunua katika maduka ambayo uhifadhi wa hizo pads ni mzuri na pia katika duka la kuaminika kwa sababu uhofadhi mbaya unapelekea ukuaji wa vijidudu (bacteria na fungus) ambavyo huleta matatizo baada ya kumaliza siku zenu. Nimekuwa nikiwauliza aina ya pads wanazotumia lakini mara nyingi wanaziorodhesha karibu aina zote kwahiyo nashindwa kusema zipi au za kiwanda kipi hazisumbui labda kama kinadada mtatusaidia katika hilo ili tuendelee kuwashauri wengine wanapokuja na hilo tatizo. Asanteni sana.
 
Haya mambo ya akina dada/ mama tu.

Sisi wengine hatuna maoni kabisa hapa.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
tunashauriwa kununua pads kwenye maduka ya dawa.........na hata vyupi kuanika nje kwenye jua.....
 
Ni kweli kabisa nimewahi kupata hili tatizo. nashukuru limekwisha baada ya kupata ushaurii mzuri wa dk kaguta.
 
(Ni kweli kabisa nimewahi kupata hili tatizo. nashukuru limekwisha baada ya kupata ushaurii mzuri wa dk kaguta.)
Maweiwe si uwasaidie wengine wajue huo ushauri hili nao wasaidike
 
Salaam kwenu wana jamvi. Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniweka hai mpaka hivi sasa.
wadau leo nimeona niongee kuhusu dada zetu..kiufupi nafanya kazi katika moja ya hospitali hapa dar es salaam nikiwa kama Mfamasia..katika kazi yangu nimekutana na dada zangu wengi wakisumbuliwa na kuwashwa katika sehenu zao za siri mara tu baada ya kumskiza siku zao. mara nyingi tatizo hili linakuwa linasavabishwa na fungus..tatizo hili limekuwa common zaidi katika siku za hivi karibuni..zamani kidogo na hata sasa imekuwa ikizoeleka kwamba matumizi ya vyoo ambavyo sio visafi vinasababisha tatizo hili...ni kweli ila sio kila siku ni choo tu...kwa sasa pads (pedi) zimekuwa zikisababisha sana hilo tatizo..ni vizuri mkajitahidi kutumia pads ambazo mnazinunua katika maduka ambayo uhifadhi wa hizo pads ni mzuri na pia katika duka la kuaminika kwa sababu uhofadhi mbaya unapelekea ukuaji wa vijidudu (bacteria na fungus) ambavyo huleta matatizo baada ya kumaliza siku zenu. Nimekuwa nikiwauliza aina ya pads wanazotumia lakini mara nyingi wanaziorodhesha karibu aina zote kwahiyo nashindwa kusema zipi au za kiwanda kipi hazisumbui labda kama kinadada mtatusaidia katika hilo ili tuendelee kuwashauri wengine wanapokuja na hilo tatizo. Asanteni sana.

Taja maduka mazuri ya kununulia, mfano>>>>><<<<<
 
Back
Top Bottom