bluecolour
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 201
- 98
Tahadhri imetolewa kwa akina sasa na akina mama kuwa kujihusisha na ngono na wanaume wengi ni mojawapo ya sababu kubwa ya kupata KANSA YA MATITI NA KANSA YA SHINGO YA UZAZI... katika utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Carolina Marekani umeendelea kudai kuwa kujihusisha kimapenzi na wanaume wengi kunapelekea particals za mens sperms kulindikana na kwa sababu kila mwanaume ana kemikali zake za kipekee kama ilivyo kwa vinasaba vya DNA & RNA kunapelekea kutengenezwa kwa sumu ambayo baada hujisambaza na hasa sehemu za matiti kufuatia uvutano uliopo na hivyi kusababisha KANSA kwa mlengwa... utafiti huo pia umeonesha ili kuwa safi na hali hii ni vyema mdadad au mmama akawa na single boy/men ili kutoku-fanya deposition ya varieties ya sperm itakayo mletea madhara.. akina dada na akina mama kazi kwenu mimi nimetimiza wajibu. CHANZO TBC TAIFA JANA ASB...