MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,191
- 13,438
Jeshi likipasuka je?...uwezekano wa jeshi kupasuka ni asilimia 60%....mimi nisemacho sibahatishi.Bado sioni hayo yakitokea tarehe 9. Vita ya wenyewe kwa wenyewe huusisha silaha za moto .Hakuna wenye silaha za moto zaidi ya majeshi yaliyopo
Nilichotoa ni tahadhariBado sioni hayo yakitokea tarehe 9. Vita ya wenyewe kwa wenyewe huusisha silaha za moto .Hakuna wenye silaha za moto zaidi ya majeshi yaliyopo
utaikutamaskini elfu sabini yangu benki!
Kwani TEC ndio wanaoteka watu?Mwenyezi Mungu atatuepusha na hilo, InshaAllah.
Lengo la TEC atalitupilia mbali.
vita ni vita. Sio lazima bunduki ya moto itumike.Bado sioni hayo yakitokea tarehe 9. Vita ya wenyewe kwa wenyewe huusisha silaha za moto .Hakuna wenye silaha za moto zaidi ya majeshi yaliyopo
Mzenge una vituko π πmaskini elfu sabini yangu benki!
Katika dunia inayobadilika ni hatari kuishi kwa kukariri.Bado sioni hayo yakitokea tarehe 9. Vita ya wenyewe kwa wenyewe huusisha silaha za moto .Hakuna wenye silaha za moto zaidi ya majeshi yaliyopo