Tahadhari kabla ya hatari

Tahadhari kabla ya hatari

Hakuna mtu anakuwaga busy, its all about priorities. Mi nahisi hiyo ni njia ya kukuacha kimya kimya
 
kuwa na demu mjini ni lawama....hasa kama huna hela na gari...!!!
 
Mbona kawaida maanake mapenzi yanakua, love is dynamic not static, hata wewe mwenyewe unaweza kuta umebadilisha swaga hujijui jichunguze. Kaa naye umsikia anasemaje kwenye uchumba tu unashindwa kuzungumza kwenye ndoa utaweza, huo mtihani mdogo sana. Unaweza kuta yeye ana mengi ya kukulaumu kuliko wewe au chanzo ya yeye kuwa na ratiba ngumu ukawa wewe Nimeshakuona utaweza kugraduate mitihani ya ndoa kweli? Ndoa ni Shule pekee ambayo unapewa cheti mapema halafu mitihani.

Nitajaribu ushaur wako!
 
kumbuka rafiki fimbo ya mbali haiui nyoka,jaribu kumchunia na wewe kama mwezi hivi bila kumchunia uone kama atakutafuta,asipokutafuta mzukie ghafla bila taarifa mumbe kalale kwake kama wiki hivi utapata jibu.

Asante kwa ushauri wako!
 
Pole sana mdogo wangu hapo jua kinaelekea kunukana soon,kwani wewe bado uko mtaani?kama unaweza mtembelee ukae nae na muongee kwa upole utajua kinachoendelea inawezekana ume-over look pia kwa jinsi vile unampenda,duh maisha yako kasi leo hii mdogo wangu nkondola amon uko jamvini hapa una matatizo ya uhusiano ungekuja kwa kaka zako kimya kimya tukae kifamilia sawa haya msalimie Flora
 
Last edited by a moderator:
Nitajaribu ushaur wako!
Kuwa mwangalifu na ushauri unaotolewa hapa jamvi, kama kweli unampenda nenda naye taratibu hakuna binadamu aliyekamilika, nimeona kuna watu wanashauri umwache sikatai ila siyo katika hatua za mwazno kabisa ambapo huna ushahidi usio acha shaka.
Pia usisahau watu wengi siyo wote hutoa ushauri ambaye yeye mwenyewe akikutwa na jambo hilo hawezi kuutekeleza kwa namna yoyote. Suala la kumwacha mtu unayempenda hata kama akikosea huwa haiwi ghafla ni taratibu otherwise unataka kuchanganyikiwa, unaweza kurupuka kumwacha mpenzi wako halafu baadaye mwenyewe unaanza kumwomba msamaha kitu ambacho kina sound akward.
Cha msingi wanawake wengi siyo wote wa zama hizi wanafanana kitabia na katika mahusiano including ndoa sometimes ni kuvumiliana tu. Vile vile tafsiri ya mwenza wako ni kwamba ni mtu pekee ambae umeamua kuvumilia madhaifu yake na haina maana kwamba hana makosa au matatizo hapana au ni mzuri sana.
 
Back
Top Bottom