umuhiri marato
Member
- May 8, 2014
- 68
- 5
baki njia kuu michepuko noma.......
Ameshapata mfanyakazi mwenzake huko benki
baki njia kuu michepuko noma.......
Alisha achana name wewe Hugo pole mwanangu
anakuchunia sababu ya lugha yako ngumu
hauwez kuelewa hapo bro!
Uwe mwelewa namna unavyoandika inamwia vigumu yeye kuelewa.Hivi umemaliza chuo kikuu nilitegemea hata namna ya uwasilishaji mada yako iwe tofauti na mdogo wako wa form four.
Fuata taratibu za uandishi,usifupishe maandishi pasipo na ulazima, TAMANI KUBADILIKA.
Mtembelee na ukae naye ujiridhishe mwenyewe kabla ya kuchukua maamuzi yatakayokuumiza pia.
usiamini katika 'interests', jali uliye naye hadi utakapothibitisha kuwa haiwezekani kabisa kuelewana.
Kuwa jasiri kwa 'vijaribu' kwani ulekeako kuna 'majaribu' makubwa zaidi ya hayo... show her that you're the phenomenal man she can regret to drop!
Habari za mapumziko wanajamvi!samahani nina kitu ambacho ningeomba ushauri,nina rafiki yangu wa kike nilimpata pindi tupo chuo kabla ya hapo alikuwa na mchizi wake ambaye aliachana nae baada ya jamaa kuwa dictator wa malovee akajigonga kwangu nikajishebedua nae mtto mpaka tumemaliza yeye anakaa moshi me dar kipnd tupe close in love tukawasiliana na wazazi wetu kila mmoja bahati nzur rafiki yangu amebahatika kula shavu bank moja dah yaani mwanzon kila akitoka job ananishtua tunabonga fuuureesh dah kadri cku zinavyoenda imekuwa co aisee anatumia namba nyngne ya cm bila kunijulisha nikimuuliza anasema nalalamika sana zile cm za me ndo natoka job hazipo usipomshtua wewe bac ukimuuliza anasema yupo busy na kazi anachoka sana,wadau nisaidie nifanye nn hapa coz naweza kumbwaga kumbe anachokisema ni kwel cjafanya uchunguz bado kama kuna mchepuko afu pia kuna mdada ameonyesha interest ya kuwa na mm ila nilimuambia nipo kwny uhusiano na mtu!ushauri wenu PLZ MATUSI HAYARUHUSIWI
Ulimpokea kama mpira uliopotea, saivi mpira umepata mwelekeo.
Huyo ni mjamzito tayar jina lake silinaanza na z na benk anayofanya inaanzia na b na hauyupo moshi yupo z
Mi sijaona kitu wala sijaelewa kitu labda nimesahau mawani yangu, sijui hata hivyo nimeyaweka wapi?
Mbona kawaida maanake mapenzi yanakua, love is dynamic not static, hata wewe mwenyewe unaweza kuta umebadilisha swaga hujijui jichunguze. Kaa naye umsikia anasemaje kwenye uchumba tu unashindwa kuzungumza kwenye ndoa utaweza, huo mtihani mdogo sana. Unaweza kuta yeye ana mengi ya kukulaumu kuliko wewe au chanzo ya yeye kuwa na ratiba ngumu ukawa wewe Nimeshakuona utaweza kugraduate mitihani ya ndoa kweli? Ndoa ni Shule pekee ambayo unapewa cheti mapema halafu mitihani.Shida swaga zimebadilika nahc kuna kitu kinaendelea!