Tahadhari: Jinsi mke anavyoweza kumuua mumewe

Tahadhari: Jinsi mke anavyoweza kumuua mumewe

ila wakati mwingine wanaume tunakuwa chanzo cha matatizo sana kwa wake zetu na familia kwa ujumla mtu unachepuka unakutana na ushauri wa mchepuko unafuata kumbe ndo unapote na mpaka mauti inakupata....jamani tuwaheshimu hawa wake zetu hasa wale wanaojua wajibu wao kama wake
Basi tuuu na tunapoelekea wanawake watatusumbua saana
 
Mama angu alishanipa story huyo mzee aliishi na mkewe uchumi ukaimarika mtoto wao wa kwanza alikuwa na 27 yrs lakin kumbe huyo mzee hakuwa ametairiwa basi akapata kabinti kadogo kakawa nyumba ndogo mpaka mkewe akajua maana alkuwa harudi nyumbani siku nyingine siku ya siku anaambiwa mumeo yupo hospital anaumwa ikabid aende kufika kulkoni baba nini zaid kumbe alishauriwa na nyumba ndogo akatairiwe lakin kidonda kinasumbua kukauka haraka maana kagundulika anakisukari na hapo aliaga amesafiri kikazi mpaka mauti yakamkuta mkewe alilia sana akamwambia mbona nilkustiri na mpaka tumezaa watoto watano ila huyo Bi mdogo.

Mtuheshimu Jamani tunafichiana mengi.
Na ninyi mjitambue
 
Ulishawai kujitutumua alafu asubuhi mwanamke akakuambia hujamfikisha umemchafua tu hata kurudia tena unashindwa na siku yako yote huwa mbaya
 
Kila Binadamu ana sikuyake yakufa ma marehemu siku yake ilisha fika yaliotokea ni sababu,na yes binadamu kila mmoja ana style yake ya kuvumilia maudhi, na kuna wengine wanaumia na bado wana stahmili wengine hawakubali wanaona bora wachukue mamuzi magumu, chamsingi itakua watu wamejifunza na hilo lilotokea na wengine kina sie pia mwenyezi mungu atupe Subra,manamke mie nikikasirika nachukua wanagu wote naenda kwetu,na namuchia Hubby na nyumba tupu...

[emoji15] [emoji15]
 
Huyo ni mwanaume au mvulana? Sasa wanawake wakikasirika ndiyo maneno yao hayo. Ooh watoto wote wanne siyo wakwako.
 
Mijana ume mingine inastahili kashfa! Ye anajua mke anamsitiri alafu anaanza kumtukana adharani. Ni ubabe wa kijinga
 
mkuu ukweli tuuongee, hebu mfikirie mtu mwenye mkono wa sweta halafu uniambie jinsi gani mwanamke anavyomtunzia siri zake
Ila kwangu sioni kama mkono wa sweta ni issue as long unapiga mzigo vizuri??
 
Back
Top Bottom