Tahadhari: Huu ni msimu wa nyoka!

Kweli, yaani ile dharau kabisa, atajiangusha hapo chini, basi sivyo mtatoka nduki, fala sana yule nyoka! 🤣 🤣 🤣 Ishanitokea siku moja nikiwa baharini, niko ufueni kule nimechill na masela chini ya miti kibao, alijiangusha mmoja, nakwambia tulikimbia tukaacha hadi viatu na pesa chini, kudadadeki yule mdudu ana masifa usipime! 🤣
 
Hahahaha
 
Halafu nyoka za awamu ya tano zinauma mpaka zenyewe zinakuonea huruma
 
Halafu nyoka za awamu ya tano zinauma mpaka zenyewe zinakuonea huruma
 
Ok mkuu.Niseme hivi nyoka za awamu ya tano zilikuwa zinauma kwerikweri.Nyoka za awamu ya hii ni pole kama mama yetu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unademka au unadamshi?
 
huyu ndio Kifutu...nakumbuka nilikua nimechoka zangu naenda geto nkamkuta mzee katulia mlangoni anakula upepo,maeneo yetu huku wako sana ni kawaida kuwaona na unaishi kwa tahadhari sana

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…