Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,017
- 31,200
Wana jf kweli kabla ujafa ujaumbika
kuna vijana wanajifanya wanawajua watu katika kuwatafutia watu kazi na kusafiri kwenda kusoma ,,napenda kuwatangazia wenye mwelekeo huo wawe makini
kuna kaka mmoja anaitwa kagonja ni kilema kidogo wa mguu(kumradhi)..inanibidi ili kuokoa watanzania wengi.huyu bwana ana kundi lake kubwa pale bilicanas na wanavaa suti na manda kwenye kitambi kama wanataka kuzaa!!!!huwa wanajifanya kula sare za nguo kama wafanyakazi wa usafi pale game..smart ..huyu bwana alimuingia dada mmoja na kumwambia anasehemu anaweza
kumpatia kazi na baya zaidi ni kwamba alikuwa ni rafiki mkubwa wa kaka wa huyo....baada ya hapo akamwahidi kazi na kumpa namba za kaka mmoja anaitwa mtui wa crdb...akachukua sh laki tano baada ya kuchukua kila akiulizwa mambo yanakwenda vizuri mwisho akafwata jamaa wa crdb ,,,alivyo mshenzi akasema njoo kesho saa nane alipofika alijifanmya anatoka mlango wa ofisi moja wapo na kuanza kuwasalmia wafanya usafi kama mfanyakazi....baadae akasema mambo yanaendelea vizuri mtaitwa kwenye interview...miezi sita sasa...na huyo kagonja kila akipigiwa apokei na anabadili namba zaidi ya kumi...hamad juzi kuna watu wanamtafuta pale billicanas kwa wizi wa kuwapeleka watoto shule muwe makini sana ndugu zanguni!!!!!
Kuna vibintii vimepigwa sana na huyu kilema akijidai anafanya crdb..
Watch out jf ladies n all readers
wenu
sitakishari