Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,380
- 2,827
Serikali ya Marekani imetoa onyo kuhusu wadukuzi wameanza kutumia mapungufu makubwa ya kiusalama kwenye PHP, Hii ni Teknolojia inayotumika kuendesha mamilioni ya tovuti Duniani. ๐
Kupitia mapungufu haya, wadukuzi wanaweza kuingia kwenye seva zilizoathirika bila ruhusa ya mmiliki, jambo linaloweza kuhatarisha taarifa na usalama wa tovuti.
๐ Nani yuko hatarini? Wamiliki wa tovuti zinazotumia matoleo ya PHP yaliyoathirika, hasa wale ambao hawajasasisha mifumo yao ya usalama.
๐ก๏ธ Ushauri kwa taasisi za Serikali kuhakikisha mifumo yao ya PHP imesasishwa, mifumo ya usalama imeimarishwa na shughuli zisizo za kawaida zinafuatiliwa kikamilifu ili kuwa Salama.
๐ค SWALI: Unafikiri tovuti nyingi zinaweza kuwa hatarini kwa sababu ya kupuuzia masasisho ya usalama?