Tahadhari Bomang'ombe na Maeneo ya Jirani.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari Bomang'ombe na Maeneo ya Jirani..

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mtoboasiri, Jul 17, 2012.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  ...watu mnaweza kulishwa nyama ya ng'ombe isiyopimwa. Basi la kampuni ya Kilimanjaro (Arusha - Dar) limegonga ng'ombe wawili karibu kabisa na kuingia stendi ya Bomang'ombe. Mwenye ng'ombe amekimbia (huenda ni kwa kuhamanika), dereva wa Kilimanjaro ametafuta wachunaji ili. kwa minibus wa kauli yake "niuze nyama nisepe zangu".

  Habari njema ni kuwa hakuna abiria alieumia.
   
 2. M

  Makanyagio Senior Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hii ni nyama safi kabisa haina tatizo lolote angekuwa kafa mwenyewe hapo ndio tatizo. Nitaipataje japo kilo moja?
   
 3. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Pole mkuu, nimechelewa kuiona post yako, we nenda baa za jirani na CRDB Bomang'ombe.
   
 4. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Ng'ombe wamegongewa pale kwa wasomali.
  Tukutane baadaed Ango Garden tuchome
   
Loading...