Tahadhari: Arusha Home Design ni Matapeli Wapya Mjini

dist111

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
3,909
Reaction score
3,461
Naandika huu Uzi kama tahadhari,

Hawa Jamaa " Arusha Home Design" wanaojinasibu kwa kutengeneza TV cases za kisasa na Majiko ya kisasa ni matepeli,

Niliwalipa 2.5M wanitengenezee TV cases, huu ni mwezi wa 3 wameshindwa kukamilisha kazi Yao,

Nikasema niwaase Wana Arusha na watanzania kwa ujumla wakae nao mbali,

Wakati mm napambana nao kimtaa, wengine wasije wakaaingia mkenge wakawapa kazi,

Hawafanyi kazi zao, na simu hawapokei mpaka uwapigie kwa namba Mpya, na ofisin kwao hawapo

Daily ofisi iko closed, ukifika wako ndani ila hawafungui geti,

Nimeandika kama tahadhari kwa Wana Arusha na waTanzania.

Mimi ntadeal nao personally, ila wengine wasije Ingia mkenge

Hawa Arusha Home Design ni Matapeli tu.
 
Umefanya jambo jema kutahadharisha watanzania mkuu, hao ni wa kuwaepuka kama sisiem!
 
Kwanini usiwafikishe kwenye Vyombo vya Usalama wakulipe Pesa yako?,Je uliwapa pesa yote kabla ya kazi?

Je hapo kabla ulienda ofisini kwao mkakubaliana Kwa maandishi au ulikutana nao tu mtandaoni ukawaamini ukawatumia hela?

Je walikupa namba za Benki za kampuni ukaweka pesa ukapewa risiti ya Benki kuonyesha umelipa na Majina ya hiyo kampuni yapo kwenye risiti?

Au uliwapa pesa mkononi tu Kwa kuwaamini kabla ya kufanya kazi?

Na makubaliano yenu yalikuwaje?
 
Asante kwa taarifa
Kazi ni kipimo cha utu
 
Naandika huu Uzi kama tahadhari,

Hawa Jamaa " Arusha Home Design" wanaojinasibu kwa kutengeneza TV cases za kisasa na Majiko ya kisasa ni matepeli,

Niliwalipa 2.5M wanitengenezee TV cases, huu ni mwezi wa 3 wameshindwa kukamilisha kazi Yao,

Nikasema niwaase Wana Arusha na watanzania kwa ujumla wakae nao mbali,

Wakati mm napambana nao kimtaa, wengine wasije wakaaingia mkenge wakawapa kazi,

Hawafanyi kazi zao, na simu hawapokei mpaka uwapigie kwa namba Mpya, na ofisin kwao hawapo

Daily ofisi iko closed, ukifika wako ndani ila hawafungui geti,

Nimeandika kama tahadhari kwa Wana Arusha na waTanzania.

Mimi ntadeal nao personally, ila wengine wasije Ingia mkenge

Hawa Arusha Home Design ni Matapeli tu.
Ukifika wako ndani ila hawafungui geti, kwa nini hujaenda kituo cha Polisi kutoa taarifa wachukuliwe hatua za kisheria maana walipo panajulikana.
 
Sina muda na Polisi,

2.5M sio hela ya kunipeleka Polisi, sina muda huo,

Mie ntawapata Tu na hela watarudisha,

Ila nimetoa tahadhari maana naona watunwnaendelea kudguluniwa
 
Kwanini usiwafikishe kwenye Vyombo vya Usalama wakulipe Pesa yako?,Je uliwapa pesa yote kabla ya kazi?

Je hapo kabla ulienda ofisini kwao mkakubaliana Kwa maandishi au ulikutana nao tu mtandaoni ukawaamini ukawatumia hela?

Je walikupa namba za Benki za kampuni ukaweka pesa ukapewa risiti ya Benki kuonyesha umelipa na Majina ya hiyo kampuni yapo kwenye risiti?

Au uliwapa pesa mkononi tu Kwa kuwaamini kabla ya kufanya kazi?

Na makubaliano yenu yalikuwaje?
Amejieleza vya kutosha na amesema atadili nao mwenyewe.
Kama unaweza watahadharishe na wengine.
 
Kwanini usiwafikishe kwenye Vyombo vya Usalama wakulipe Pesa yako?,Je uliwapa pesa yote kabla ya kazi?

Je hapo kabla ulienda ofisini kwao mkakubaliana Kwa maandishi au ulikutana nao tu mtandaoni ukawaamini ukawatumia hela?

Je walikupa namba za Benki za kampuni ukaweka pesa ukapewa risiti ya Benki kuonyesha umelipa na Majina ya hiyo kampuni yapo kwenye risiti?

Au uliwapa pesa mkononi tu Kwa kuwaamini kabla ya kufanya kazi?

Na makubaliano yenu yalikuwaje?
Umeuliza maswali ya msingi.
Tuhuma bila ushahidi sio sahihi.

Isijekuwa amemfumania mkurugenzi na demu waje ameamua kumgaribia biashara
 
Pole sana
Ikiwa utafeli kudeal nao haswa ,mafia mkata kamba ,mwamba asiyemithirika ,adui aliyejificha katika tabasamu ,mpiganaji aonekanaye mnyonge niko hapa kukusaidia kumtaa zaidi
 
Arusha kuna uhuni wa kishamba sana. Tena sana
Especially siku hizi kwa sababu naijua Arusha tangu nipo mdogo kama mtembezi, siyo mwenyeji lakini kadri miaka inayoenda, tabia zinabadilika na kuwa za kihuni, ule uhuni wa kizamani wa kishamba sana.
It's sad ila huo ndiyo ukweli.
 
Pole sana ndg. wauza furniture wengi ni matapeli haswa hawa wa kupost mitandaoni. ukipenda furniture yoyote ni heri ufike showroom zao ulipe ubebe tu kuliko mambo ya kuweka order na kuacha advance.
 
Back
Top Bottom