Tahadhari Ali Hassan Mwinyi Road

Tahadhari Ali Hassan Mwinyi Road

Kuna kitu ambacho wachache tumekiina na tunaamini kinachangia ajali pamoja na suala la ulevi,kasi ,na kutokuwa na uzoefu barabarani.serikali v taa za barabaran na ziwe zinafanya kazi.watafute namna waweke hata za umeme wa solar.barabara zetu zina giza sana na zinapunguza visibility labda uwe unakaa katikati ya barabara nyakati za usiku
Yale mataa ya sola huwa yanazima ikifika usiku mwingi.
 
SPIDI ZAO USIKU WANAKUTANAGA NA MZIKI ....SEMA HAWAKOMI

OVA
 
Dah... mtaani kwetu Tuliwatia bakora angalau sasa tunasikiliza hata "blues"
 
mkuu i bet una ka spacio au ka vitz old model...acha wenye masubaru yetu tusumbue mjini...haha
mie niliknock engine mwezi wa Augost niliposhindwa kumaliza mzunguko... kheri ya mwenzetu Dr. Ramos wa Portugal alinyakuwa
 
Gari zao wamelipia bima kubwa, ila wakiumia wao sijui inakuwaje hapo.
 
Back
Top Bottom