Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
wauweeeeeeeeSamahani napenda kutoa Tahadhali kwa wale wenye kuhisi wananipenda!
Nawashauri wasinipende Kimapenzi wanipende kawaida kama YESU na shetani
Kupenda huku Vepe?!
Kutaka kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi
Wengi wao waliojaribu walikufa
Kama hauamini we soma stori zangu zote utajua sababu
Ni hayo tu kwa Leo nimeona niwakumbushe mlionisahau!
Ps:
MIMI SO MCHAWI, NIMEOKOKA NAMPENDA YESU
AHAHAHAHAHAHA
Hahaha mzima bestwauweeeeeeee
mi ni mhenga nilikuwepoHahaha mzima best
Umeskiza iyo nyimbo lkn au ulikuwa haujazaliwa?!
Hahaha hayami ni mhenga nilikuwepo
Malaika wa kifo? [emoji102] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Samahani napenda kutoa Tahadhali kwa wale wenye kuhisi wananipenda!
Nawashauri wasinipende Kimapenzi wanipende kawaida kama YESU na shetani
Kupenda huku Vepe?!
Kutaka kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi
Wengi wao waliojaribu walikufa
Kama hauamini we soma stori zangu zote utajua sababu
Ni hayo tu kwa Leo nimeona niwakumbushe mlionisahau!
Ps:
MIMI SO MCHAWI, NIMEOKOKA NAMPENDA YESU
AHAHAHAHAHAHA
Hahaha nimekumiss rafikiMalaika wa kifo? [emoji102] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Nataka nijaribu kujivisha mabomu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha nimekumiss rafiki
Afande maelezo yangu hapo juu yanajitosheleza afandekwichi kwichi vipi? Tangazo la jamii unalo ? tuanzie hapo kwanza
Wache waje nitawanyoosha
Kasome Biblia utajuaKupenda kama Yesu na Shetani ndo kukoje huko!??
Naomba mwongozo.
Trafic umenielewa lkn ? [emoji16] [emoji16] [emoji16]Afande maelezo yangu hapo juu yanajitosheleza afande
Hahaha utakufaaaNataka nijaribu kujivisha mabomu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nambie PromotaMoney Penny