perfect Combo
Member
- Sep 4, 2016
- 37
- 25
Habari wana JF wote mnaosubira kwenda chuo....
wakati tunapofanya application za kwenda chuo hasa kwa wale wanaosoma course ambazo hazina ajira ya moja kwa moja . Nitajaribu kuoredhesha baadhi ya course ambazo ajira zake ni ngumu.
1.Non education courses
2.Engineering karibu zote kwa sasa ajira yake ni ngumu (NAJUA MTABISHA)
3.education zote ya arts japo sina uhakika sana
TAHADHALI.
kama hauna direction kabisa na unatoka familia duni kuwa makini katika kuchagua course ya kwenda kusoma DEGREE...kuna watu wanaamini kuwa DEGREE yoyote ina ajira lakini amin nakuambia mtaani kuna mengi sana na elimu kubwa ndiyo iko mtaani ,,kipindi unapoenda chuoni unaweza kujiona kuwa ndiyo umefauru maisha MAISHA BAADA YA CHUO UNAWEZA KUJIFUKIA SHIMONI...
Kuna watu mtaani wamesoma computer engenering tena wamesomea INDIA lakin hawana kazi mpaka sasa na mbaya zaidi wamesomeshwa na serikali...kuna watu wamesoma petroleum ,,wengine wamesoma biomedical lakin wapo mtaani....kuna wengine wanakurupuka kuchagua course mpya eti wakijua kuwa ajira ni uhakika lakini kinachotokea baada ya chuo tumwachie MUNGU tu...na kuna wengine wanajipa moyo eti hii course inatolewa na vyuo viwili tu TZ nzima....
Najua kuna wengine mtapata sana sapu na kuna wengine hamtapata sapu ...baada ya chuo nawakaribisha mtaani na elimu ya huku ni zaidi ya huko chuoni mnakoenda ..tunapokuwa chuoni huwa na ndoto nyingi sana ila tunaporudi mtaani maisha hubadilika....
Unaweza kupagawa ..mtaani watakusema sana eti vyeti vyako vibovu....una apply kazi mpaka unachoka kampuni nyingi zinahitaji watu wenye uzoefu..RUSHWA ya ngono...wasichana wenzangu ndiyo uwa wanaachia,,,,wanavua nguo ili wapate kazi....
ELIMU kubwa ya maisha ipo huku mtaani..imewakuta wengi wenye degree,,diploma na hata cheti..waungwana husema nawmachia MUNGU.....
Upo chuoni unawaza kumiliki ALTEZA lakin baada ya chuo unaishia kutembea na bahasha miaka mitano hujapata kazi..
WENGINE wanatuaminisha kujiajiri lakn amini nakuambia kujiajiri kwa TZ hii ni ngumu sana....
ALL THE BEST WADOGO ZANGU....KUWENI MAKINI...
poleni sana kwa wale mtakaodisco.....lazima wapo wa kudisco hivyo kuweni makini huko chuoni..........mtaa una elimu kubwa malecture ni wanajamii wenzako......