Jozee mkunaji JF-Expert Member Joined Jun 11, 2017 Posts 459 Reaction score 613 Jun 29, 2017 Thread starter #21 Bacyclerbacy said: Hapo kweny kushika sikio ilikuwa shida sana maana nilikuwa kafupi kadogodogo mkono haufik nikaambiwa nirud nyumban nitaanza mwaka ujao Kilio gani hcho hapo nilitunguaaaa Click to expand... Inawezakana wewe ni katibu wa wahenga
Bacyclerbacy said: Hapo kweny kushika sikio ilikuwa shida sana maana nilikuwa kafupi kadogodogo mkono haufik nikaambiwa nirud nyumban nitaanza mwaka ujao Kilio gani hcho hapo nilitunguaaaa Click to expand... Inawezakana wewe ni katibu wa wahenga
Aysher25 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 1,763 Reaction score 3,074 Jun 30, 2017 #22 Jozee mkunaji said: Inawezakana wewe ni katibu wa wahenga Click to expand... hapana Mkuu me Mjumbe
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,623 Jun 30, 2017 #23 Mimi ni mhenga ila hiyo namba 1 sijaielewa kidogo
be unique JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 2,381 Reaction score 2,292 Jun 30, 2017 #24 Kweli wahenga wapo wengi
Josaje Mtui JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 2,468 Reaction score 2,181 Jun 30, 2017 #25 Duh!akuna aliebakia salama katika hayo yote.wahenga bana..
mtugani wa wapi huyo JF-Expert Member Joined Dec 5, 2012 Posts 1,239 Reaction score 1,477 Jun 30, 2017 #26 KINYWAJI CHA WAHENGA
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,435 Jun 30, 2017 #27 mtugani wa wapi huyo said: KINYWAJI CHA WAHENGA Click to expand... Kwani hiyo ndio togwa?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,435 Jun 30, 2017 #28 leon slim said: Mimi ndo muhenga kabisaaa!!nilipanga foleni kununua unga na sukari,betri tulikuwa tunaziponda ponda au unaweka juani na kuna wakati tukawa tunazichemsha na chumv ili zipate chaji Click to expand... Advance technology yako. Kumbe unaweza TENGENEZA power bank ya mvuke
leon slim said: Mimi ndo muhenga kabisaaa!!nilipanga foleni kununua unga na sukari,betri tulikuwa tunaziponda ponda au unaweka juani na kuna wakati tukawa tunazichemsha na chumv ili zipate chaji Click to expand... Advance technology yako. Kumbe unaweza TENGENEZA power bank ya mvuke
Jozee mkunaji JF-Expert Member Joined Jun 11, 2017 Posts 459 Reaction score 613 Jun 30, 2017 Thread starter #29 Bacyclerbacy said: hapana Mkuu me Mjumbe Click to expand... tag wahenga wenzako waje hapa kwanza wakuone mjumbe wao
Bacyclerbacy said: hapana Mkuu me Mjumbe Click to expand... tag wahenga wenzako waje hapa kwanza wakuone mjumbe wao
Jozee mkunaji JF-Expert Member Joined Jun 11, 2017 Posts 459 Reaction score 613 Jun 30, 2017 Thread starter #30 Khantwe said: Mimi ni mhenga ila hiyo namba 1 sijaielewa kidogo Click to expand... Wewe ni muhenga uliye kosa Sifa namba moja
Khantwe said: Mimi ni mhenga ila hiyo namba 1 sijaielewa kidogo Click to expand... Wewe ni muhenga uliye kosa Sifa namba moja
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,623 Jun 30, 2017 #31 Jozee mkunaji said: Wewe ni muhenga uliye kosa Sifa namba moja Click to expand... Nifafanulie basi kama wewe mhenga mwenzangu
Jozee mkunaji said: Wewe ni muhenga uliye kosa Sifa namba moja Click to expand... Nifafanulie basi kama wewe mhenga mwenzangu
Jozee mkunaji JF-Expert Member Joined Jun 11, 2017 Posts 459 Reaction score 613 Jun 30, 2017 Thread starter #32 Khantwe said: Nifafanulie basi kama wewe mhenga mwenzangu Click to expand... Wahenga huwa tunaambizana kwa mfumo huo Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Khantwe said: Nifafanulie basi kama wewe mhenga mwenzangu Click to expand... Wahenga huwa tunaambizana kwa mfumo huo Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,260 Jun 30, 2017 #33 wahenga wengine ninaowajua ni hawa hapa Cc. Daby venossah ISIS joanah rubii Shunie Valentina mahondaw RRONDO
wahenga wengine ninaowajua ni hawa hapa Cc. Daby venossah ISIS joanah rubii Shunie Valentina mahondaw RRONDO
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,572 Jun 30, 2017 #34 STUNTER said: wahenga wengine ninaowajua ni hawa hapa Cc. Daby venossah ISIS joanah rubii Shunie Valentina mahondaw RRONDO Click to expand... Hahahaha GOOD MORNING stunter
STUNTER said: wahenga wengine ninaowajua ni hawa hapa Cc. Daby venossah ISIS joanah rubii Shunie Valentina mahondaw RRONDO Click to expand... Hahahaha GOOD MORNING stunter
STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,260 Jun 30, 2017 #35 ISIS said: Hahahaha GOOD MORNING stunter Click to expand... Morning mlimbwende wangu, habari za leo
Jozee mkunaji JF-Expert Member Joined Jun 11, 2017 Posts 459 Reaction score 613 Jun 30, 2017 Thread starter #36 STUNTER said: wahenga wengine ninaowajua ni hawa hapa Cc. Daby venossah ISIS joanah rubii Shunie Valentina mahondaw RRONDO Click to expand... Good work mkuu Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
STUNTER said: wahenga wengine ninaowajua ni hawa hapa Cc. Daby venossah ISIS joanah rubii Shunie Valentina mahondaw RRONDO Click to expand... Good work mkuu Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,572 Jun 30, 2017 #37 STUNTER said: Morning mlimbwende wangu, habari za leo Click to expand... Gr8 kwa kweli
STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,260 Jun 30, 2017 #38 ISIS said: Gr8 kwa kweli Click to expand... Aramisyuu nakukumbuka iyeee iyeee... Tena roho yangu mama bingili bingiliii, aaah nikilala bingili bingili bayooyooo..... Hahaha
ISIS said: Gr8 kwa kweli Click to expand... Aramisyuu nakukumbuka iyeee iyeee... Tena roho yangu mama bingili bingiliii, aaah nikilala bingili bingili bayooyooo..... Hahaha
mwamba c JF-Expert Member Joined Jan 2, 2017 Posts 690 Reaction score 2,364 Jun 30, 2017 #39 hapa vp?wahenga ss
mwamba c JF-Expert Member Joined Jan 2, 2017 Posts 690 Reaction score 2,364 Jun 30, 2017 #40 wahenga walisubr vijarida hv kila mwez,vilikua vikitoka baada ya mwez