[emoji23][emoji23][emoji23] nawaangalia tu, alafu wanazungukana wale wanaojifanya wema wanakuja kumuambia na ushahidi juu[emoji23][emoji23]Wanaishia kumzushia tu hahaaa!! Ila ukichefukwa unakandajee watu humuu bora sikuhizi umeokoka!!
Itabidi akaze, ukiwa mnyonge sana hutaishi kwa furahaKwa Lamomy anamuweza sana na anakulindia kuliko unavyojua but yeye Jo ni muoga kama kuku linapokuja suala la mtu kumshambulia
Weee hapanaa![emoji23][emoji23][emoji23] itakua ulikua hujapata tu back up. Alivyoingia cute/lamomy ndio ukaanza sasa[emoji23]
Me mwenyewe angekuwa legelege asingenipata 😂😂😂Mkuu cha ajabu mademu wapo wanapenda mtu mbabe
Hapo ndio vizuri sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kesi zake ndo zinamshinda ila za wanaomnyapia Lamomy anaenda nao sawa
Yanii jf hii 🙌[emoji23][emoji23][emoji23] nawaangalia tu, alafu wanazungukana wale wanaojifanya wema wanakuja kumuambia na ushahidi juu[emoji23][emoji23]
Sasa hivi ukweli sipendi hizo issue[emoji23]
Kama kantri😂😂😂Me mwenyewe angekuwa legelege asingenipata 😂😂😂
Kichwa changu kinahitaji mwanaume kichwa ngumu
Unajua siku ile ilibidi niwe mpole sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yalishaishaga yale!
Kweli Mama la mama amekua pa kukushika kwake hufurukutiiii!!
Safi sana[emoji16]!
😂😂😂😂 lioneHapo ndio vizuri sasa[emoji23]
Sasa kesi zake naomba akuachie wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naishia kucheka tyuu!!
Kantry siri hana, nikiwa na kitu najiapiza simwambii ila atakavyonipanikisha mpk nitamwambia [emoji23]
Lakini ukweli mm hayo ningejuaje[emoji23][emoji23]Binadamu hawatabiriki si umemuona Kantry mpenzi wangu na katoa siri na anasema kabisa Lamomy ameniambia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliniambiaaa nikamwambia arelaxx asikununiee 🤠!Unajua siku ile ilibidi niwe mpole sana
Aliniambia unachotafuta kwa antonnia nn, amekukosea wapi au umetumwa, nikaambiwa naomba huu ndio uwe mwisho wetu siwezi kuwa na mtu wa hivi anazingua rafiki zangu[emoji23]
alicharuka sio kidogo. But yalishaisha na alinielewa[emoji23]
Nilimuwashia moto 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yalishaishaga yale!
Kweli Mama la mama amekua pa kukushika kwake hufurukutiiii!!
Safi sana😁!
Shemeji Mimi kama wanamgambo wa hamas we si unaona ninavyowafurusha wavamizi wa Jimbo😂![]()
mbona ndio namtegemea kumuweka sawa lamomy? Kumbe muoga?![]()
![]()
![]()
😂😂😂😂 unarudia tena?Lakini ukweli mm hayo ningejuaje[emoji23][emoji23]
Wa huku wengi walokole[emoji23]Mkuu cha ajabu mademu wapo wanapenda mtu mbabe
Nilicheka ulivyomwambia yule jamaa eti, “ Ushawahi kufungwa bila file la kesi?” 😂😂😂Shemeji Mimi kama wanamgambo wa hamas we si unaona ninavyowafurusha wavamizi wa Jimbo😂
Nikajua ni mm tu ,nimemuudhiSiyo wewe peke yako. Anagawa dislike kwa kila mtu