Tafuta tofauti

Tafuta tofauti

emma-chriss

Senior Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
100
Reaction score
16
Naskia kuna baiskeli za kike na za kiume ya Mh. ni ya jinsia gani?
05_11_5eqh3y.jpg
 
We vipi!!!Tangu lini vyuma vikawa na jinsia?Ina maana vifaa na vyombo nyumbani kwako vina jinsia?
 
suala hapa si jinsia nadhani mavazi uliyovaa ndio yatasema aina ya baiskeli unayohitaji.......umevaa kanzu? gauni? suruali au kipedo............:sad:
 
Back
Top Bottom