Mbona ya zamani hvyo??
Wanatumia kingereza imeshatka hadi season 2 ya kwanza ina episode 12 ya pili imefika episode 12 bado inaendelea
Ina somesort of intelligence and drama
Kama una muda wa free na huna cha kufanya tafuta series inaitwa GRACELAND hutajuta.