Tafuta paka alipo kwenye hii picha

Tafuta paka alipo kwenye hii picha

xivii09

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
269
Reaction score
156
pakav.jpg
 
hata mimi pia nimemuona itabidi uje zanzibar nikuoneshe
 
Mbona Paka wenyewe wanaonekana kichwa tu? nimewaona watatu
 
Huwezi mkuta paka hapo, paka na vyuma ni vitu viwili tofauti
 
Yupo chini kidogo ya mfuniko wa feni ya mezani.

Tiba
 
Anaonekana vizuri upande wa kushoto juu juu kidogo...Chini ys bampa la feni....Anamadoa meupe na meusi..
Kweli, mimi sikuona kabisa nilikuwa nachunguza kwenye upenyo upenyo, kumbe yoko juu kabisa

Ana mabaka meusi kichwani na kijivu mgongoni karibu na mkia

Ahsante sana
 
YULEEEE.....! yupo upande wa kushoto -katikati. Juu anarangi nyeusi na chini ana rangi nyeupe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom