Hahahahacamera man mshenzi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo aliona huyo mzee ndio ana kasura pasonooo[emoji23][emoji2]
Watu walimzomea MC kwenye mitandao ya kijamii lakini ndio ukweli, wasklize mademu wengi mjini siku hizi, kila mmoja anacho kimtu chake.
Huyo huyo Mzee alijijua Kuwa anakasura personal anaona kamulikwa 😂😂camera man mshenzi sana 😂😂😂😂 kwahiyo aliona huyo mzee ndio ana kasura pasonooo😂😃
😀😀duuh aiseeWatu wana maneno sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]View attachment 936662