Tafteni pesa ma Genz

Pesa ndo kila kitu

Sahv ukiwa mitandaoni wanawake wanasema sana kuhusu pesa hivyo tumeshawajua,

Ukitaka kuwa nao lazima uwe na pesa

Ila kinachonishangaza kwa wanawake anapenda uwe na pesa lakin ukitaka kuzifurahia pesa zako mwanamke ananuna

Maana starehe kubwa ya mwanaume aliefanikiwa kimaisha ni kuzipiga pisi kali nyingi nyingi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…