Eeeenhe ngoja tukufuatilie unapoishi, tuje kujizolea mafwezaaaaa 🤣Mapesa yapo tumechimbia chini ya kitanda ni salama kwa afya zetu, msihifazi CRDB BANK mtapigwa.
Chai.Mapesa yapo tumechimbia chini ya kitanda ni salama kwa afya zetu, msihifazi CRDB BANK mtapigwa.
Ahaa! Umeshanisanua mapema utanipatia wapi sasa?Eeeenhe ngoja tukufuatilie unapoishi, tuje kujizolea mafwezaaaaa
Tafutia maandazi upigilie.Chai.
Naona Lumumba mmekuja kivingine, mmetua kwenye ile sehemu ambayo sote twaipenda.Someni message hapo
Screenshot View attachment 3516222
Chai.Tafutia maandazi upigilie.
Lala ukue kijana.Chai.
Chai.Lala ukue kijana.
HahahahahUnachat na Malaya unakuja kuweka humu hivi kila mtu akiweka anavyochat na Malaya wanaojiuza mitandaoni humu patatosha?