Tafsiri

the desire

Member
Apr 17, 2009
10
0
Wanajamii nisaidieni kutafsiri. kuna aina ya maharage, ni madogo meusi yana mstari mmoja mweupe yanaitwa ngwara kwa kiswahili, yanalimwa sana hai na maeneo mengine pia hutengeneza mafuta wakati mwingine. je jina lake kiingereza ni nini?
 
Ngwara nazijua sana, lakini jina la kizungu silijui!
nI ZAO MOJA LA BEI MBAYA!
 
sikuona kwenye dictionary lakini ukitumia wavuti ya google kucheki legumes mbalimbali utaona dal na katika orodha ya dal , picha zinaendana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom