TAFSIRI YA SHUKA KITANDANI KWA MWANAMKE ALIYEFUNDWA SHURTI SHUKA LIONGEE KITANDANI,SI WAJITANDIKIA TU KITANDA KAMA MSUNGO HAPANA. TUANGALIE ZILE SHUKA ZENYE MAANA KUNA ZENYE MAANA NA NYINGINE NI SHUKA TU KAMA PAMBO HAZINA MAANA YOYOTE
TUANZE NA SHUKA NYEUPE au la cream
Shuka hili maana yake ni kwamba Mume wangu Leo nimejiandaa vya kutosha, nimekamilika kila idara wewe tu uje mpenzi ujilie vyako. Yaani ukiweka hili haswa hii siku ya shughuli uwanjani
Shuka jekundu
Mume wangu Niko Tayari kukupa mambo, but tukae tuongee kwanza kwani mwenzako hali si shwari Leo., Niko kwenye siku za hatari, ukikosea tu utanipa ujauzito ilhali hatujajiandaa kupata mtoto kwasasa. shuka hili tumia siku za hatari
Shuka jeusi au la rangi udongo
Mume wangu Leo lisijikii kabisa, tulale tu nimechoka sana Leo tusifanye kabisa
Shuka la Kijani, blue bahari au green apple'au blue
Mume wangu Niko radhi najisikia hamu Leo tujiachie baby Tena Niko kwenye siku nzuri za kupata ujauzito, baby Leo mechi ieleweke kwani tukicheza vizuri Leo ntapata ujauzito
Shuka la pink au orange
Baby sijisikiii, naumwa Leo tusifanye kabisa naumwa mpenzi, tukumbatiane tu
Shuka la njano
Baby umenikosea. Nina hasira Leo sikosawa. nitake radhi yaishe tuendelee kuenjoy penzi letu
Shuka la zambarau
Baby naomba unisamehe najuta kwakosa nlilokufanyia
Shuka la mchanganyiko wa ranginyingi yaani rangi zaidi ya tatu zikiwa kwenye shuka moja
Baby Leo naomba tufanyiane USAFi, hapo ni siku unayoona kichaka chahitaji jambia cjui tumeelewana. Tutazidi kueleweshana kadri tutavyojaaliwa kwaleo tuishie hapa
KUMBUKA
Si shuka zote zina maana, waweza weka tu ukiwa huna maana yoyote,ila kwawadada waliofundwa,ni vema kufanya mamboyao tofauti na wasungo, pia waweza mfunda mumeo ili ukimwekea shuka Fulani isimlazimu mazungumzo basi yawe ni mahojiano na utekelezaji tu wa kile shuka inachosema..
unatuletea mataarabu hapa
Wasungo ni kina nani?
unatuletea mataarabu hapa
TAFSIRI YA SHUKA KITANDANI KWA MWANAMKE ALIYEFUNDWA SHURTI SHUKA LIONGEE KITANDANI....,SI WAJITANDIKIA TU KITANDA KAMA MSUNGO HAPANA........ TUANGALIE ZILE SHUKA ZENYE MAANA KUNA ZENYE MAANA NA NYINGINE NI SHUKA TU KAMA PAMBO HAZINA MAANA YOYOTE
TUANZE NA SHUKA NYEUPE
,au la cream
Shuka hili maana yake ni kwamba Mumewangu Leo nimejiandaa vya kutosha.......nimekamilika kila idara wewe tu uje mpenzi ujilie vyako......yaani ukiweka hili haswa hii siku ya shughuli uwanjani
Shuka jekundu............
Mumewangu Niko Tayari kukupa mambo..........but tukae tuongee kwanza kwani mwenzako hali si shwari Leo......Niko kwenye siku za hatari......ukikosea tu utanipa ujauzito ilhali hatujajiandaa kupata mtoto kwasasa......shuka hili tumia siku za hatari
Shuka jeusi au la rangi udongo..
.Mumewangu Leo lisijikii kabisa........tulale tu nimechoka sana Leo tusifanye kabisa
Shuka la Kijani......blue bahari.....au green apple'au blue
Mumewangu Niko radhi najisikia hamu Leo tujiachie baby Tena Niko kwenye siku nzuri za kupata ujauzito......baby Leo mechi ieleweke kwani tukicheza vizuri Leo ntapata ujauzito
Shuka la pink au orange
Baby sijisikiii,naumwa Leo tusifanye kabisa naumwa mpenzi .....tukumbatiane tu
Shuka la njano
Baby umenikosea........Nina hasira Leo sikosawa........nitake radhi yaishe tuendelee kuenjoy penzi letu
Shuka la zambarau
Baby naomba unisamehe najuta kwakosa nlilokufanyia.....
Shuka la mchanganyiko wa ranginyingi yaani rangizaidi ya tatu zikiwa kwenye shuka moja
Baby Leo naomba tufanyiane USAFi.......hapo ni siku unayoona kichaka chahitaji jambia cjui tumeelewana.....
Tutazidi kueleweshana kadri tutavyojaaliwa kwaleo tuishie hapa
KUMBUKA
Si shuka zote zina maana.....waweza weka tu ukiwa huna maana yoyote,ila kwawadada waliofundwa,ni vema kufanya mamboyao tofauti na wasungo,pia waweza mfunda mumeo ili ukimwekea shuka Fulani isimlazimu mazungumzo basi yawe ni mahojiano na utekelezaji tu wa kile shuka inachosema..
Hivi unatandikaje shuka jekundu? Au jeusi? Si panakua kama kwa mganga?
Shuka la zambarau si linatumika msibani?
Hizo rangi zinisamehe bure
Ha ha haa
Nyakanga nitakurudisha mkoleni!!
hahahahaHivi unatandikaje shuka jekundu? Au jeusi? Si panakua kama kwa mganga?
Shuka la zambarau si linatumika msibani?
Hizo rangi zinisamehe bure
hahahaha
au la njano iliyokolea kama kiini cha yai
Bora hata hilo, la rangi ya udongo nalo kiboko ha ha
Kumbe ukiwa period ndo siku za kupata mimba
Kumbe ndo maana dk mwaka ana wagonjwa hvo
Kila siku watu wakiwa period ndo watafuta watoto tanga
Muacheni dk mwaka afaid
Ha ha ha nkikuta kitanda kimewekewa shuka jekundu mi naweka na ungo juu ya kitanda