Prince M Mwakyusa
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 374
- 185
Hivi kwann huwa hawafungi vifungo vyotee vya koti la suti lazimaa waache kimoja
Ahaaaa nmekuelewa mkuuWanasema ukifunga vyote unakuwa hauko comfortable kwenye kukaa/ kuinama
God forbidSomething will happen before 31st Dec 2020
Jr![]()
Possible mzee wa Uwazi kamnyoloshea kidole, tuache Picha zizungumze kwa kweliSomething will happen before 31st Dec 2020
Jr![]()



Yule.......The NextSomething will happen before 31st Dec 2020
Jr![]()
Yule.......The Next View attachment 1521095
MmmmhJiwe
Something will happen before 31st Dec 2020
Jr![]()
Kuna pahala nimetaja kifo?Shida watu mnajaa fikra mbovumbovu??? Sio kufa tu hata Kuwa mkuu zaidi ni Possible, ndio maana mtu hata siku moja hawezi kufanya kitu kwa haki maana katika kila kitu anafanya analolipenda unles he/she is guided. May happen for you too, pray

Utashangaa unaondoka ww kabla ya huyo unayemtegemea


Yuleeee safiri salaama.. Tutaonana nae badaeeeUtashangaa unaondoka ww kabla ya huyo unayemtegemea![]()

