Tafsiri ya nyimbo za mrisho mpoto

Tafsiri ya nyimbo za mrisho mpoto

Future president

Senior Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
144
Reaction score
39
Kama unaweza ukasearch hata sasa kwenye youtube embu search nyimbo ya waite na nyimbo ya chochea kuni mbichi na nyimbo ya mjomba alizoimba mwimbaji mrisho mpoto,napenda jua tafsiri nzima ya nyimbo zake,ila nabaki nikihisi tu,wewe je mdau wasema nini
 
Ile ni fasihi kama si mwanafasihi ni hakika hutapata kitu hata uwe na kamusi
 
yule mganga njaa tu...hamna fasihi pale!
 
Mpoto nyimbo zake ni kwa ajiri ya wenye IQ kubwa.kama haupo kundi hilo utapinga mpaka kesho .pole sana lakini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom