wadau wa lugha, naomba kujuzwa tafsiri sahihi ya neno 'aga'.kwani mimi nahs neno ninalotumia lina mapungufu.nimekuwa natumia neno 'to wipe'. je hakuna neno jingine mbadala.asante
Wipe si sahihi kabisa, hata sielewi una maanisha nini? Na ungelitumia hilo neno aga katika sentensi yako ingerahisisha kupatiwa msaada.
Aga inaweza kuwa to say goodbye
Au to bid a farewell au see you.
Wipe ni kupangusa/ kufuta